Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

Usimpangie
 
Makonda hayuko serikalini kwa sasa,hivi mpaka Mama aseme?vyombo vyetu vya dola ndo tuvilaumu,vinayo nafasi ya kuchunguza MTU kama makonda nakumfikisha mahakamani..au wanaharaki wafungue kesi mahakamani kuomba uchunguzi kuhusu huyo makonda,alishapigwa marufuku hata kukanyaga USA..tunalala sana kama kila maamuzi yatoke kwa raisi haitofautiani na issue ya juzi eti msongamano wa malori bandarani mpaka PM aende kusolve!sidhani kama tuna viongozi wengi walio sensible..upuuzi sana
 
Na Mimi baada ya kukutana na post chache tu nikagundua hilo.
 
Ole Sabaya amesimamishwa kazi...hajakamatwa....Sasa huyo Makonda asimamishwe kazi kwa kazi ipi aliyonayo Sasa? Au akamatwe kwa kosa lipi?

Ninachokiona Sasa ni kuwa Baadhi mnadhani nchi Hii imepinduliwa...mnatoa kauli za ajabu ajabu ....Mara Kuna the so called Sukuma gang Mara sijui Nini...
Mmejikita kwenye Sera za visasi...
Lakini watu makini are just watching, at least for the time being...people are just watching....haya tusubiri tuone ...time will tell...
 
Here we go again-baadhi ya Watanzania katika ubora wao wa wivu na roho ya kutu!!

Kwa nini mko overly obsessed na MAKONDA ambaye ni mtu anaye julikana sana kwa uchapa kazi na ubunifu wake, lengo lenu kuu kama lilivyo siku zote ni kutaka kumwaribia sifa Makonda ili azikwe kisiasa, hasiinuke tena-mmejaa roho za kichawi mwanzo mwisho!!!

Kwa taarifa yenu Madam President ni binadamu mwenye busara na hekima hawezi kuwa swayed na ujinga wenu wa kuzulia watu Mickey Mouse stories zenu - chuki zenu zinawafanya msahau kwamba MAKONDA ndiye alikuwa binadamu wa kwanza Tanzania nzima kupendekeza kwamba mama Samia Suluhu Hassan ndie awe Makamu wa Rais, na kweli!!! Makonda si mtume wala nabii lakini aliweza ku-foretell coming event with dead accuracy - what does that tell YOU? Ni wazi Makonda katika maisha/kazi zake anaongozwa na Mungu wake, roho zenu mbaya notwithstanding - sina shaka sooner or later he will bounce back fighting fit kama kawaida yake kwa ajili ya ustawi mpana wa Taifa letu,our Nation needs true grit type ya Makonda na sio wapiga domo na wapika majungu kama nyinyi.
 
Tena huyu ndo balaa

ASANTE MUNGU KWAAJILI YA TAREHE 17.

NAMPENDA SAMIA MIE JAMAANI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…