Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Ni Yule anayekumanua tu 6X6 kila 24/7.
"Aisifiaye mvua imemnyea"--- umemjuaje huyo kwamba ni shetani kama hajakubikiri???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Yule anayekumanua tu 6X6 kila 24/7.
Pumbav kabisa kila ukiamka na ww unatoa maelekezo kwa mama!!?Mama kakuambia hataki Ushauri? Idiot.
Kama Wewe ulivyobikiriwa na Mgiriki?"Aisifiaye mvua imemnyea"--- umemjuaje huyo kwamba ni shetani kama hajakubikiri???
Sijazidi Upumbavu wa katika Koo zako.Pumbav kabisa kila ukiamka na ww unatoa maelekezo kwa mama!!?
Ukiwa Fool tu lazima uwe na hizi Fikra.Nchi nzima itakamatwa sasa
UsimpangieKwangu Mimi kutokana na Tuhuma zao ( hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao ) namfananisha Ole Sabaya na Papa na Paul Makonda ni Nyangumi.
Utoaje AMRI ya Kuchunguzwa kwa Papa Ole Sabaya na ukamuogopa au ukamuacha Nyangumi Paul Makonda? Hapa Rais Samia Mimi Krav Maga sijakuelewa.
Rais Samia tafadhali hakikisha na hiki ulichokifanya kwa Ole Sabaya pia ukifanye kwa Paul Makonda kwani ana Madhambi yaliyomshangaza hata Shetani.
Kama Rais wetu tuna haki ya Kumshauri.Usimpangie
KwikwikwikwiiiiiKama Rais wetu tuna haki ya Kumshauri.
Jinga kabisaSijazidi Upumbavu wa katika Koo zako.
Makonda hayuko serikalini kwa sasa,hivi mpaka Mama aseme?vyombo vyetu vya dola ndo tuvilaumu,vinayo nafasi ya kuchunguza MTU kama makonda nakumfikisha mahakamani..au wanaharaki wafungue kesi mahakamani kuomba uchunguzi kuhusu huyo makonda,alishapigwa marufuku hata kukanyaga USA..tunalala sana kama kila maamuzi yatoke kwa raisi haitofautiani na issue ya juzi eti msongamano wa malori bandarani mpaka PM aende kusolve!sidhani kama tuna viongozi wengi walio sensible..upuuzi sanaKwangu Mimi kutokana na Tuhuma zao ( hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao ) namfananisha Ole Sabaya na Papa na Paul Makonda ni Nyangumi.
Utoaje AMRI ya Kuchunguzwa kwa Papa Ole Sabaya na ukamuogopa au ukamuacha Nyangumi Paul Makonda? Hapa Rais Samia Mimi Krav Maga sijakuelewa.
Rais Samia tafadhali hakikisha na hiki ulichokifanya kwa Ole Sabaya pia ukifanye kwa Paul Makonda kwani ana Madhambi yaliyomshangaza hata Shetani.
Na Mimi baada ya kukutana na post chache tu nikagundua hilo.Nimejikuta nacheka tu, mshusha thread mwandiko wako, jazba na kurudia rudia kutaja jina lako vinashabihia na IDs nyingine mbili tatu hivi.
Umechangamsha genge somehow, hayo ya Bashite tuwe na subra muda utatupa majibu kwani yanayoendelea behind the curtain kwa tulio nje ya system hatuyafahamu.
Nadhani SASHA anakwenda sawia, one step at time huku akizingatia taratibu za kisheria si kama phase ya mwendazake ya kidnappings, detentions na eliminations.
Kama Wewe ulivyobikiriwa na Mgiriki?
Ila wodi tofauti na huenda si kila mgonjwa wa Sewahaji utamkuta Kibasila....Sewahaji na Kibasila zote ni Muhimbili.
Ole Sabaya amesimamishwa kazi...hajakamatwa....Sasa huyo Makonda asimamishwe kazi kwa kazi ipi aliyonayo Sasa? Au akamatwe kwa kosa lipi?Kwangu Mimi kutokana na Tuhuma zao ( hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao ) namfananisha Ole Sabaya na Papa na Paul Makonda ni Nyangumi.
Utoaje AMRI ya Kuchunguzwa kwa Papa Ole Sabaya na ukamuogopa au ukamuacha Nyangumi Paul Makonda? Hapa Rais Samia Mimi Krav Maga sijakuelewa.
Rais Samia tafadhali hakikisha na hiki ulichokifanya kwa Ole Sabaya pia ukifanye kwa Paul Makonda kwani ana Madhambi yaliyomshangaza hata Shetani.
Lazima apangiwe maana kina cha maji kimeshapimwa ni kifupiUna mpangia?
Here we go again-baadhi ya Watanzania katika ubora wao wa wivu na roho ya kutu!!Kwangu mimi kutokana na Tuhuma zao ( hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao ) namfananisha Ole Sabaya ni Papa na Paul Makonda ni Nyangumi.
Unatoaje amri ya kuchunguzwa kwa Papa Ole Sabaya na ukamuacha Nyangumi Paul Makonda? Hapa Rais Samia Mimi Krav Maga sijakuelewa.
Rais Samia tafadhali hakikisha na hiki ulichokifanya kwa Ole Sabaya pia ukifanye kwa Paul Makonda kwani ana Madhambi yaliyomshangaza hata Shetani.
Pumbavu kabisa.Jinga kabisa