Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

Krav Mwaga maviii ??!!
Krav Mwaga ndiyo nini? Naitwa Krav Maga sawa? Sasa kama ID yangu tu Kuiandika vyema utaweza kweli Kushindana na IQ yangu iliyobarikiwa vilivyo kabisa na Mwenyezi Mungu?
 
Ndugu jaribu kutambua kuwa Rais amechukua hatua dhidi ya Sabaya kwavile ni mkuu wa Wilaya chini ya utawala wake. Sasa Makonda ni nani kwa sasa hata Rais Samia amchukulie hatua?
 
Amteteaye Makonda atakuwa Mwehu.
 
Krav Mwaga ndiyo nini? Naitwa Krav Maga sawa? Sasa kama ID yangu tu Kuiandika vyema utaweza kweli Kushindana na IQ yangu iliyobarikiwa vilivyo kabisa na Mwenyezi Mungu?


Huna IQ yoyote wewe Krav Mwaga mavi.
 
Mzena hospital,wanatibiwa wenyewe na viongozi wa ngazi ya Rais na Makamu wa Rais na Waziri Mkuu tu! Wengine hata uwe na pesa nyingi kiasi gani! Hutibiwi pale! Tambua hilo
Siku hizi Vijana wa Oysterbay Eagle Wing Block ( Makao Makuu ) wanatibiwa sana pale Rabininsia Hospital Tegeta na sijajua ni kwanini na pale Kwao hawapataki hadi kupakimbia. Naendelea Kulichunguza hili Kiundani hasa.
 
Ndugu jaribu kutambua kuwa Rais amechukua hatua dhidi ya Sabaya kwavile ni mkuu wa Wilaya chini ya utawala wake. Sasa Makonda ni nani kwa sasa hata Rais Samia amchukulie hatua?
Hao Watu wanaoshtakiwa sasae huko Ulaya na Marekani kutokana na Makosa yao katika Tawala zao Wao hawakuwa Viongozi?

Kwahiyo baadhi yenu mlivyo Wapuuzi Vichwani mnataka kusema kuwa Dhambi za Makonda kwa Awamu ya Hayati zisiibuliwe leo?

Acha Kunilazimisha nianze Kukudharau.
 

Jinai haifi as long as huna kinga yo-yo te makonda AKAMATWEEEEEEEEEEE
 
Hii sijaipata! Labda wanakimbia dunga dunga! Kwamba Marehemu kafa kifo cha ghalfa tu!
Hawajaanza Kupakimbia leo Ndugu bali kwa Uzoefu wangu wa Ufuatiliaji wa Masuala huu ni mwaka wa Nne au wa Tano nimeligundua hili. Sababu nilizozipata naomba nibaki nazo tu Mtimani mwangu na Moyoni pia Kimaadili zaidi.
 
Minal faidhiina, na wewe pia Eid Mubarak.πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»
Hatimaye Maadui sasa tumekuwa Marafiki. Una Akili sana ila kuna mahala huwa unanikera tu kwa Uchangiaji wako wa Kutetea Upuuzi hasa wa Watu ambao Krav Maga nawaona ni Hatari kwa Ustawi na Usalama wa Tanzania na Watanzania.
 
Rais akisoma uzi wako atafanya hivyo. Sitoshangaa
 
Pamoja na hili la kufoji cheti wakati askofu rashidi anamfahamu Hadi Babu zake huko call me j.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
ila kuna mahala huwa unanikera tu kwa Uchangiaji wako wa Kutetea Upuuzi hasa wa Watu ambao Krav Maga nawaona ni Hatari kwa Ustawi na Usalama wa Tanzania na Watanzania.


Sisi ni marafiki na hilo halina shaka,🀣.

Ila inatakiwa ujifunze jambo moja kwamba; Mtazamo wako juu ya jambo fulani sio lazima uwe ndio mtazamo wangu isitoshe adui yako sio lazima awe adui yangu, juu ya yote tustahimiliane katika maoni na tukubaliane kutokukubaliana bila ugomvi (agree in our disagreement and compromise) hapo ndipo tutajenga taifa.
 
Huwa napenda kukutana na Fools wa mfano wako hapa ili niweze Kuwapa yale msiyoyajua na pia niziimarishe vyema IQ's zenu ili muweze kuwa Great Thinkers hasa.

Kwa Taarifa yako hakuna Mtumishi wa Serikalini anayeongoza kwa kuwa na dossiers nyingi za Idarani ( TISS ) kama Paul Makonda ila alikuwa akilindwa vilivyo na Babaake wa Ukabila Mwendazake kupitia Yule Mpuuzi mwingine sasa ni Mtawala pale kwa Mkuu wa Mkoa Tabora.

Usinichefue zaidi nikayaanika usiyojua.
 
Kuniita mpuuzi tayari inatosha kuonesha dharau kwangu. Ndugu yangu wapi nimeanadika tuhuma za Makonda zisiibuliwe?

Sasa kama mimi ni mpuuzi hebu nijibu. Je, ulitarajia kwenye Taarifa hii au nyingine toka Ikulu ieleze hatua zilizochukuliwa na Rais dhidi ya Makonda kutokana na tuhuma zake za matumizi mabaya madaraka alipokuwa mkuu wa Mkoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…