Here we go again-baadhi ya Watanzania katika ubora wao wa wivu na roho ya kutu!!
Kwa nini mko overly obsessed na MAKONDA ambaye ni mtu anaye julikana sana kwa uchapa kazi na ubunifu wake, lengo lenu kuu kama lilivyo siku zote ni kutaka kumwaribia sifa Makonda ili azikwe kisiasa, hasiinuke tena-mmejaa roho za kichawi mwanzo mwisho!!!
Kwa taarifa yenu Madam President ni binadamu mwenye busara na hekima hawezi kuwa swayed na ujinga wenu wa kuzulia watu Mickey Mouse stories zenu - chuki zenu zinawafanya msahau kwamba MAKONDA ndiye alikuwa binadamu wa kwanza Tanzania nzima kupendekeza kwamba mama Samia Suluhu Hassan ndie awe Makamu wa Rais, na kweli!!! Makonda si mtume wala nabii lakini aliweza ku-foretell coming event with dead accuracy - what does that tell YOU? Ni wazi Makonda katika maisha/kazi zake anaongozwa na Mungu wake, roho zenu mbaya notwithstanding - sina shaka sooner or later he will bounce back fighting fit kama kawaida yake kwa ajili ya ustawi mpana wa Taifa letu,our Nation needs true grit type ya Makonda na sio wapiga domo na wapika majungu kama nyinyi.