Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Makonda, Mnyeti, Jerry Muro, Olesabya, Ally Hapi na Chalamila ni group moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukumu zimfaazo tu Bwana Yako huyu ( huyo ) ni Mbili tu ama afungwe Maisha Jela au Anyongwe kabisa je, Wewe ' Mamsampu ' unamchagulia ipi kati ya hizi?Mbona mnawaza saana huyu mtu anaitwa makonda?
Alishawalaza vichocholoni kisha akaondoka bika kuwalipa pesa?...
Group hili litakumbukwa kwa kazi yake TUKUFU ya kuwagaragaza CHADEMAMakonda, Mnyeti, Jerry Muro, Olesabya, Ally Hapi na Chalamila ni group moja
Jambazi hata akifa lazima ashtakiwe na ahukumiwe!Mbona mnawaza saana huyu mtu anaitwa makonda?
Alishawalaza vichocholoni kisha akaondoka bika kuwalipa pesa?..
Sheria za nchi zinasema ukishakuwa Kiongozi wa Umma ukitoka au ukistaafu hata kama ulitenda Makosa hutakiwi Kustakiwa na Jamhuri?Ila makonda si sitena mtumishi wa Umma
Duh..Apelekwe Gaza tu akakwepe makombora.. akipona arejee awe raia mwema
Faili lake linatembea mkuu.Binafsi nashangaa ni kwanini hadi leo hii Rais ( Mama ) Samia Suluhu Hassan hajaamuru huyu Moron, Crook and Hellacious Paul Christian Makonda hajakamatwa na kuanza Kuchunguzwa na Dhambi nyingi, kubwa na mbaya alizozifanya ( hasa alipokuwa Dar RC )
Hukumu pekee inayomfaa huyu ( Paul Christian Makonda ) ambayo GENTAMYCINE nataka Kuisikia ikimpata tu ni ama afungwe Maisha Jela au ahukumiwe Kunyongwa.
Sabaya ni Papa Makonda ni Nyangumi.
Ni kwanini Rais anamchelewesha huyu?Keagan Paul una tuhuma nyingi sana mdogo wangu.
Kwanza umeghushi vyeti, jina lako ni Daud Albert Bashite, ulifeli, ulipata zero ukanunua jina mtu. Pale Muccobs napo tunajua ulivyosoma kiuongo uongo...
Labda Mzee aliacha wosia kijana alindweBinafsi nashangaa ni kwanini hadi leo hii Rais ( Mama ) Samia Suluhu Hassan hajaamuru huyu Moron, Crook and Hellacious Paul Christian Makonda hajakamatwa na kuanza Kuchunguzwa na Dhambi nyingi, kubwa na mbaya alizozifanya ( hasa alipokuwa Dar RC )...
Hapo umemtaja Shoga, umemtaja womanizer, ukamtaja Shoga tena, ukataja Jangili jambazi kuu kuwahi kutokea kaskazini, ukataja shoga then ukamalizia na mlevi womanizerMakonda, Mnyeti, Jerry Muro, Olesabya, Ally Hapi na Chalamila ni group moja
Ana ' dossiers ' nyingi za TISS akamatwe.Faili lake linatembea mkuu.
Thubutu Siamini hili hata Kidogo Mkuu.Labda Mzee aliacha wosia kijana alindwe
umetoa wapi mamlaka ya kumpangia mtu cha kuzungumza? Kama hautaki kuskia masuala ya makonda basi usiyafuatilie fanya yako waache wanaomuandama wamuandame mpaka watakapoona panafaaMbona mnawaza saana huyu mtu anaitwa makonda?
Alishawalaza vichocholoni kisha akaondoka bika kuwalipa pesa?
Na kama mnampenda kwa sasa sio maana ana mke wake tayari.
Makonda kakaa kimya nyie kika siku makonda, subilini akiwa ameongea kitu ndo mmshambulie.
Kama kakaa kimya na nyie kaeni kimya.
Balaa na nusuHapo umemtaja Shoga, umemtaja womanizer, ukamtaja Shoga tena, ukataja Jangili jambazi kuu kuwahi kutokea kaskazini, ukataja shoga then ukamalizia na mlevi womanizer
Jinai haifiIla makonda si sitena mtumishi wa Umma