Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

Mnyeti a.k.a Muasisi wa kununua madiwani msimsahau tafadhali

 
Hatimaye Ole Sabaya ameingia Kingi, hiyo yaweza kuwa headline nzuri kwa magazeti ya kesho.

Nawapongeza sana watu wa mitandao ya jamii kwa kelele na sauti ambazo tulipaza mpaka huyu Dhalimu akapatikana.

Sasa napendekeza tulianzishe kwa Paul Makonda maarufu Kama Daudi Albert Bashite mpaka naye awajibishwe kwa matendo yake maovu. Kimsingi uovu wa Ole Sabaya haufikii hata robo ya uovu wa Makonda. Na kila alilokuwa anafanya Sabaya alikuwa anaiga na ku -consult kutoka kwa Makonda.

Tutumie silaha yetu ya "social media" kama wanavyotuita "key board warriors" mpaka Makonda akapate anachostahili. Tushambulie kila mahali kupitia JF, TWITTER na FB.

Hii kampeni ianze mara moja kutaja madhambi yake. Kama TAKUKURU au Polisi hawatachukua hatua, basi wanahatakati wa haki za binadamu wanaweza wakatushauri mamna ya kumfikisha Mahakamani
Sabaya aingia kingi…..ahahahaaaaa!!!
 
Bora alijiengua mapema , itakuwa malaika walimshukia ndotoni
 
Nikikumbuka yulemfanya biashara wa Hai alipomnukuu sabaya kwamba "hii unaweza kuiita makonda style"
Najiuliza inamaana mstaafu wa Dar ndio muanzilishi wa uvamizi kwa matajiri au?
 
Najaribu kuwaza leo Sabaya atakavyovuliwa nguo zote kwenye ukaguzi.... anaambiwa kujisaidia haja kubwa bila hata kubanwa.. anaambiwa kuchuchumaaa akiwa uchi wa mnyama mbele ya wale waliomuona boss wao.. tuliposema watu wanadhalilishwa wakafikiri yataishia kwa Chadema tu.
andiko zuri kabisa. Kesho ni wabunge wanaopitisha sheria kandamizi, zitawakumba na wao
 
Makonda naye kafaya haya haya ya Sabaya. Kuivamia clouds ni kielelezo cha nguvu ya ukatili/ukiukaji wa sheria aliokuwa nao. siyo kuwa aliishia hapo, amefanya mengi hasa ya kuchukua fedha kwa lazima kutoka wa wafanyabiashara. Akikamatwa watajitokeza wengi kutoa ushahidi.
Alifanya hayo ikaundwa kamati ya kuchunguza tukio, Jiwe akaizima. Means Jiwe alisimamia haya yote ya akina Sabaya. makonda alikuwa kipenzi cha Jiwe, hivyo alitenda atrocities nyingi.
nani alimtishia bastola Nape?
Bottomline wa kuwachunguza ni wengi sana

USA walishamaliza kuhusu makonda hadi kesi nyingine za kudhulumu haki ya watu kuishi maana yake kufanya mauaji.
 
Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo;
1. Kupotea kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS na GBP
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji

Kitu pekee ambacho atapona ni UNAKAJI. Hilo shtaka halitamhusu kwa vile yeye siyo Rijali
8. Kuvamia kwa Yusuf Mehboob Manji Sea View jirani na Nyumba ya Ridhiwani Kikwete na Nyumba ya Hayati Rais Mstaafu Mkapa na Kukwapua Pesa Tsh Bilioni 3 na kumpora Gari yake ya Kifahari Range na Kumtisha kuwa akiinua Mdomo atamtaja katika List yake ya Drug Barons ( Wauza Dawa za Kulevya ) wakubwa nchini Tanzania.
 
Mda wa kumvizia kiongozi yeyote unayehisi kipindi cha uongozi wake hakukutendea haki. Hahahaha wabongo bhana, sio watu wa pole pole, ila jitahidini kutunza sheshima za watu. Kisasi hakijawahi kumwacha mtu salaama na upendo ndo kitu kikubwa kwa sisi binadamu wote na kila mmoja akitambua ya kuwa hajakamilika basi ni kitu bora sana kusameheana na kuelimishan kwa upendo.
Ukimsamehe Makonda hata Shetani ayakushangaa. Misamaha inayoongelewa kwenye vitabu vitakatifu siyo kwa matendo haya ya Makonda na Sabaya
 
Kabisa mambo aliyofanya sabaya ni machache sana ukilinganisha na Makonda,yaani hadi USA wametoa ripoti na kumyima kuingia US sio masihara!! Makonda ana issue nyingi sana sema nyingine zina mkono wa "SIRIKALI" iliyopita.
Ushahidi wa Makonda uko mpaka ICC The Hague. Kama Serikali ya Tanzania itamkingia kifua basi kuna kifungu kina ruhusu kufungua mashtaka ICC,

Makonda labda afe mapema Ila akiwa hai lazima tu deal naye
 
Back
Top Bottom