Rais Samia Awaandalia Yanga Hafla ya Kuwapongeza

Duuuu....! Simba si watakufa kwa presha mwaka huu!?
 
Basi misukule ya Mudi Mhindi itanuna kweli na kutukana hovyo! Kisa wivu tu. Maana kila mwaka timu yao inaishia robo fainali. Hata ibebwe vipi, haibebeki.
 
Tulia wewe! Mbona bosi wako Mwamedi msimu uliopita alitumia bilioni 1.5 kusajili akina Victor Akpan, Nelson Okwah, Mlete Mzungu, Nassori Kapama, Mohamed Outtara, na wengineo wengi; na hukulalamika.

Waache wananchi wakapongezwe. Maana wanastahili.
 
Hujui JK ni mshabiki wa Yanga?
 
Siasa ni Sayansi ingawa haina Differentiation wala Intergration

Kila la kheri Mwananchi 👏
 
Ahsante sana mama, wewe ndio mfariji namba moja nchi hii.

MAKOLO wasage meno,
 
Hili swali lako wala halihitaji PhD. Unategemea watumie pesa binafsi wakati unaambiwa kuna fungu la ikulu ambalo halipo audited?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…