Ww ndo fala hujui kuwa Nchi zaidi ya 50 duniani na watu zaidi ya milioni 100 waliokua wanafuatilia ule mpira wameijua Tanzania kupitia Yanga, huna huelewa na Marketing, vyombo vyote vya habari vikubwa wameitaja Yanga chok@@ wwHUYU mama mbona kama amepotea njia.
HUKO Dodoma km 1 kutoka IKULU eneo lote Lile la mtumba,ihumwa, WATU hawana maji .
Wilaya zote za Dodoma ni shida Bahi, kondoa,kongwa UMASIKINI umetopea.
Miaka sitini ya uhuru WATU hawana maji.
ANAHANGAIKA NA MAMBO YASIYOKUA YA MSINGI.
Rais wa nchi yetu anapaswa kuwa "Mwananchi" yaani taasisi nyeti ya urais iongozwe na mkia? Ebu acha masikhara bana, yaani kolo kabisa lipate ridhaa ya kuwa raia namba moja hapa nchini!?RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
@SuluhuSamia
ameandaa hafla ya kuwapongeza Wananchi, Young Africans SC kwa hatua waliyofikia kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika ambapo klabu hiyo ilifika fainali na kufanikiwa kutunukiwa medali kama mshindi wa pili.
Hafla hiyo ya kuipongeza klabu ya Yanga itafanyika Juni 5, 2023 Ikulu, Dar es Salaam.
View attachment 2645787
Alafu juzi nasikia wepokea b2 za msaada eti kinisuru kaya masikini.HUYU mama mbona kama amepotea njia.
HUKO Dodoma km 1 kutoka IKULU eneo lote Lile la mtumba,ihumwa, WATU hawana maji .
Wilaya zote za Dodoma ni shida Bahi, kondoa,kongwa UMASIKINI umetopea.
Miaka sitini ya uhuru WATU hawana maji.
ANAHANGAIKA NA MAMBO YASIYOKUA YA MSINGI.
Tangu lini Mbumbumbu wakaeleweka?Sijakuelewa, kwamba uhusiano wa kukosekana kwa maji na kuwapongeza Yanga ukoje? Asiwapongeze kisa Bahi hawana maji?
Vp unataka uka mtunuku[emoji23][emoji23][emoji23]Jamani Djigui Diarra ameoa? [emoji169][emoji172]
Taratibu Mzee Baba wasije wakakulia njama hawa Makolokolo kwa kipigo hiki kwenye mishono yao [emoji847]Siku hizi mashabiki wao wengi wamekuwa kama mashangingi ya mjini. Kila timu inayocheza na Yanga, basi lazima wajipendekeze kwao.
Eti sasa hivi wametoka kwa Waarabu, wamehamia kwa Azam waliotoka kuwafunga na kuwatoa kwenye hatua ya nusu fainali!!
Popote anapoweza kupata umaarufu anajipenyeza.HUYU mama mbona kama amepotea njia.
HUKO Dodoma km 1 kutoka IKULU eneo lote Lile la mtumba,ihumwa, WATU hawana maji .
Wilaya zote za Dodoma ni shida Bahi, kondoa,kongwa UMASIKINI umetopea.
Miaka sitini ya uhuru WATU hawana maji.
ANAHANGAIKA NA MAMBO YASIYOKUA YA MSINGI.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Diarra tu, wewe kocha wa makipa tutakutafutia kutoka Mali 😜Vp unataka uka mtunuku[emoji23][emoji23][emoji23]
Ameoa bna
Ila Mimi kama kocha wake wa makipa.....nipo single [emoji23]
Kolowizards jingine hili hapa limeandika "Kivuvu", pia lile linalojiita USM ALGER, Rivers United na Marumo Gallants badala ya Corasco Putin limeandika "Shilikisho"Mvivu hufikiri kivuvu,
Kwani vipi wakati ule wa live event,kila neno kila hatua kila ziara nazo ulishazisahau au wivu kwa mwanchi 🤔.Acha tufurahi bwana😠HUYU mama mbona kama amepotea njia.
HUKO Dodoma km 1 kutoka IKULU eneo lote Lile la mtumba,ihumwa, WATU hawana maji .
Wilaya zote za Dodoma ni shida Bahi, kondoa,kongwa UMASIKINI umetopea.
Miaka sitini ya uhuru WATU hawana maji.
ANAHANGAIKA NA MAMBO YASIYOKUA YA MSINGI.
Wivu huyo😂Wakati timu yako inashinda mechi zake na kupewa pesa za mama mbona haukuhoji
Wananchi wenyewe tunazo pesa yetu,usitake kutusimanga,tunayo kama 7b,mfukoni hivi sasa,vipi nyie kolo😂Hivi hafla kama hizo zinaandaliwa kwa pesa binafsi au ya umma! Maana ni upotevu wa pesa bure wakati nchi yetu ina watu wanashida nyingi wengine wanashindwa hata kujilipia matibabu ya laki moja tu wanapoteza maisha lakini anatokea mtu mmoja kwa mapenzi yake binafsi anaamua kutapanya pesa ovyo ili kufurahisha vyura.