Acha wapambane wenyewe. Dhambi ya ubaguzi mbaya Sana. Walianza kwa kuibagua CHADEMA, leo wanabaguana wenyewe.
 
Kwa ikulu ya Dodoma,Chamwino,wakumkumbuka ni Mwalimu Nyerere,alichimba mitaro ya kupeleka maji Chamwino,kwa kushika sururu,na kazi nyingine za ujenzi,aliweka kambi si chini ya miezi mitatu,hapo Chamwino.
 
Haya yote kayataka Magufuli, alipoanza kuwasema Wenzake waliotangulia kuwa hawajafanya kitu. Ngoja naye wamuoneshe utamu.
 
Kumbe Mkapa naye alikuwepo kwenye uzinduzi! Sijui mzee wa legacy ameshindwa vipi kutokea🤣
 
Na Mkapa alikuwepo?
 
Yule mwamba hawaamini kama hayupo duniani,bado wanasuguana na kivuli chake,

Mwingine anasema aliwatuma ramani kualar lamper. ,lakini kakaa miaka kumi ikulu akisafiri kama Vasco da Gama, nae anajiingiza kwenye ushiriki,hakika watu wa pwani ni wanafiki sana
 
Haya yote kayataka Magufuli, alipoanza kuwasema Wenzake waliotangulia kuwa hawajafanya kitu. Ngoja naye wamuoneshe utamu.
Nitajie miradi ya JK unayoifahamu tofauti na kuzurura duniani.

Hata daraja la jimboni kwake lilimshinda kubuni, kutengeneza. DARAJA LA WAMI👇
 

Attachments

  • B800A54E-BEA7-45F6-AFF5-E61384CA1029.jpeg
    334.3 KB · Views: 2
Giza halina uwezo kuzima mwanga ila mwanga una uwezo kuondosha giza. Hilo ndio jibu rahisi tu kuelewa nini maana yake.

Mtu mwaminifu hashuku kusingiziwa uharifu ila mhalifu (mwizi) wazo lake la haraka ni kuhisi anazibiwa fursa ya kupata isivyo halali hivyo huhisi mtu fulani akimtaja atamharibia hivyo anaamua kuacha kumtaja ili mipango yake isitibuliwe; ndicho kilichotokea pale kwenye kusanyiko la walamba asalai Ikulu isiyokuwa yao.
 
Maana yake ni simple tu. Magufuli alikuwa na shari nyingi kuliko heri basi.
 
Yule mwamba hawaamini kama hayupo duniani,bado wanasuguana na kivuli chake,

Mwingine anasema aliwatuma ramani kualar lamper,lakini kaka miaka kumi akisafiri kama Vasco da Gama,na anajiingiza kwenye ushiriki,hakika watu wa pwani ni wanafiki sana
Mlisema Magu alipo na nyie mpo. Sasa mbona hamjaenda Chato kuzikwa naye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…