Rais Samia bado anapotoshwa, hajapata washauri wenye weledi

Kwa hili ni sahihi ,wajirekebishe.
 
Baada ya Rais Magufuli kufariki, Tanzania tumepoteza mwelekeo tulitegemea mama atakuwa kiongozi ila nimeshangaa nae kawa mwanasiasa anafanya maamuzi kufikiria uchaguzi wa 2025.
Tanzania haijawahi kupoteza muelekeo hata siku moja. So far, Tanzania ni nchi iliyoko kwenye top ten ya nchi za kiafrika zenye uchumi mkubwa. Na katika top ten nchi nyingi uchumi wake uko backed na mafuta. Ukitoa mafuta, nchi zinazosimamia show zinabaki kuwa ni South Afika, Kenya, Ethiopia na Tanzania. Na kama unavyojua uchumi wa South uko backed na wazungu na pia kama unavyojua uchumi wa Ethiopia uko backed na huge population, nchi zinazobaki kwenye top ten ambazo zinasimama kwa miguu yake ni Tanzania na Kenya ndio zina GDP ya ukweli. Yani, small population with no oil but huge economies.
Tusipende kujidharau. Sisi ni taifa kubwa na lenye nguvu kiuchumi ndio maana hatuyumbi ovyo ovyo. So far, tuko vizuri kuliko nchi nyingi za kiafrika.
 
Hicho kiwango cha mkopo tungeweza kuraise hiyo hela wenyewe. Rais ameshindwa kuepa blackmail na vitisho vya ubeberu ili kuingiza nchi deni. Yaani ni kuhakikisha nchi ziko tegemezi. Hilo kwa mabeberu wa magharibi ni muhimu kuliko wengi tunavyoelewa. Lingine ni kutununulisha mahitaji toka ubeberuni ambayo wala siyo mahitaji ya lazima kwetu, ila kwa hila tumeaminishwa ni mahitaji ya lazima
 
Mimi mwenyewe nimeshangaa kwa kweli,maana zile tozo tuliambiwa zinaenda kugharimikia huduma za kijamii.

Hii trilion 1 na ushee nayo tunaambiwa inaenda huko huko sasa huko si kujipumbaza akili zako mwenyewe.

Kama Magu aliifungua barabara ya morogoro kuanzia kimara hadi kibaha kwa nini hii pesa ya IMF isingepelekwa kutanua barabara ya kusini maana kule nako kuna utitiri wa viwanda na malori na barabara ni nyembamba mno.
 
Hawa ni wajinga sana, wanashindwa kushauri chama chao huko wapo busy kumshauri Samia ambaye kazungukwa na wabobezi wa kila kona, eti leo hii Samia achukue ushauri wa vilaza kama hawa ambao wenyewe mambo yao yameparagakanya kila kona
Wewe ndiye kilaza takataka unaleta uvyama kwenye Mambo ya kitaifa isitoshe kusema wewe Ni mpumbavu kabisa
 
Well put Bemendazole, wakosoaji wanaugua ugonjwa wa ku criticise kila afanyacho Rais SSH bila kuwa na facts.

Ila atawashangaza sana namna atakavyokuza uchumi na ku transform nchi
 
Kama unapewa mashariti magumu kwanini ukope? Kukopa Kuna maana gani?

Wewe ndiye mjinga kukopa sio lazima sisi hatuna vita
 
Hayo ni mawazo yako binafsi naona ana muelekeo mzuri kiuchumi , kisiasa bado anayumba.
 
Tashauriwa na watu mil 60 wote? huyo atakuwa mtu au AI? Ndiyo maana kuna kuwa na wawakilishi wa watu, sasa kama hao wawakilishi wapo busy mahakamani na kesi za kipuuzipuuzi zinazoepukika then hilo siyo kosa la Samia
Wawakilishi Ni bunge lenu la ccm watupu si mlisema upinzani unakwamisha maendeleo? Halafu mnataka wao ndio wawashauri pumbavu nendeni mkashauriwe uo ujinga na wakina mwigulu mtaona matokeo yake !!
 
Well put Bemendazole, wakosoaji wanaugua ugonjwa wa ku criticise kila afanyacho Rais SSH bila kuwa na facts.

Ila atawashangaza sana namna atakavyokuza uchumi na ku transform nchi
Wewe Ni moja ya wachumia tumbo hapa jf ulimtuka Sana Magufuli kununua ndege cash ukawa unasema Ni mwizi leo unatetea Tena Samia kununua ndege cash.

Una njaa ya tumbo umepewa chai wewe itakuwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…