technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
- Thread starter
-
- #81
Economics ipi we unaendeaje kukopa pesa ambayo mtu anayekupa anakupangia Cha kufanya wakati anajua umeweka dhamana ya kukopa?Soma vzr economics baba , mabeberu hawabahatishi wanapotaka lao, umembana kweli kweli amebaki kuongea ongea mambo mepesi
Tatizo ni kuwa wanakijani wapo kila kona, wameshika vitengo vyote muhimu, na tabia yao kubwa ni kumwabudu rais aliyepo madarakani, ndiyo maana nikasema wanaodhani eti 2025 watachukua fomu ya urais CCM na kushindana na Samia wanapoteza muda wao, hamna mwanakijani atakubali hilo!! Njia pekee ya kupata hiyo katiba mnayoipigania ni ni kuBOW DOWN na kushirikiana na chama na serikali bila kejeli wala majigambo ya hovyo, hilo halimaanishi kwamba mtaacha kuikosoa serikali!! UKITAKA KULA LAZIMA NAWE ULIWE, sasa CDM wao wanataka kula tu bila kuliwa!!! COMPROMISES ndizo zinaendesha dunia kwa sasa, unakula kidogo na wewe unaliwa kidogo! Ndicho kinaendelea kwa wataliban na US kwa sasa, ulitegemea hizo pande 2 kuna siku zitakaa meza moja na kufikia makubaliano flani?K
Kwa hiyo mwonekano was DAI la katiba mpya Kwa watanzania limesha Anza kuchakachuliwa na wanakijani, wanafiki na wapigania maslahi binafsi na SI watanzania watetezi halisi wa mahitaji ya watanzania wanao itaka katiba mupya kwa maslahi mapana ya taifa pendwa Tanzania.
Huko ulipo hamna mtu mwenye hadhi hata ya kufunga kamba ya viatu vya MwiguluWawakilishi Ni bunge lenu la ccm watupu si mlisema upinzani unakwamisha maendeleo? Halafu mnataka wao ndio wawashauri pumbavu nendeni mkashauriwe uo ujinga na wakina mwigulu mtaona matokeo yake !!
Hivi nyie mkipewa nchi mtaiongoza kwa hela zipi? Kodi, tozo, mikopo na misaada vyote mnapinga!! Tueleze kidogo source yenu ya income mkipewa nchi itakuwa ni nini?Kama unapewa mashariti magumu kwanini ukope? Kukopa Kuna maana gani?
Wewe ndiye mjinga kukopa sio lazima sisi hatuna vita
Endeleeni kudai katiba mkiamini eti ndiyo itawapeleka Ikulu, matokeo yake nchi nzima imwewasusia hilo dai lenu la katiba mnabaki kutapatapaWewe ndiye kilaza takataka unaleta uvyama kwenye Mambo ya kitaifa isitoshe kusema wewe Ni mpumbavu kabisa
Kama umemsikiliza jana NKM wa CDM kwenye press yake basi utajua majukumu ya vyama vya siasa ni nini!! Katika moja ya hoja zake amesema wameomba kuonana na Samia ili KUMSHAURI namna ya kuongoza nchi vizuri bila mikwaruzano! Ingekuwa wabunge ndiyo washauri pekee wa Rais basi Samia asingekubali kuonana na wapinzani kwa sasa maana bunge ni la CCM tupu! Ninachojua kazi ya bunge ni kutunga sheria na kuisimamia serikali, sijawahi sikia mahali eti mbunge kazi yake ni kuishauri serikali, huyo atakuwa ni mbunge asiye na meno!!Nani kasema vyama vya siasa ni washauri wakuu Wa serikali?Hii umeitoa wapi?Kwahiyo vyama vya siasa vikikaa kimya serikali inakosa washauri??
Mshauri namba moja Wa serikali ni Bunge la JMT,na hili lipo hadi kwenye katiba!Ndio maana kwenye kazi za bunge kuna kutunga sheria,kupitisha bajeti na kuikosoa/kuishauri serikali!
Chama cha siasa hakiwajibiki kuishauri serikali,inapotokea wamefanya hivyo basi wamefanya kwa kujisikia!Ila bunge linawajibika kisheria kuishauri serikali!
Pili,unamwambia mleta mada asishauri kwa sababu ulizotaja!Hapo unakosea,kukosoa au kushauri ni haki ya mtu yeyote!Haijalishi kama ushauri wake ni mbovu au mzuri!Ndio maana Rais halazimiki kuchukua ushauri Wa yeyote!
Sasa mnapiga makelele ya nini mitandaoni? Pambaneni na hali zenuMatatizo muyaanzishe ninyie ufumbuzi muutarajie kwa Chadema??
Hilo la kununua ndege kwa cash sikubaliani nalo kwa kweli. Hata kama zingekuwa zinakuwa acquired kwa mkopo kuongeza ndege bila kuangalia tija (productivity) ya hizi alizonunua Magufuli nalo siyo sawaVIP kununua ndege cash unakubaliana naye?
Hayo Ni mawazo yako wewe,na sio lazima tuwaze sawaRais bado ananua ndege cash wakati uchumi unapumlia mashine?
Rais anakopa kujenga madarasa ambayo hayalipi Kodi Wala kulipia mikopo.
Unakopa pesa ili kununua barakoa seriously pesa za kulipa huo mkopo zitatoka wapi?
Unatakiwa kukopa kutengeneza project kubwa kama SGR na Bwawa la umeme Rufiji na miradi ya barabara na maji ambayo italeta matokeo in long-run.
Project zote za Afya na elimu zilitakiwa kuwa funded na pesa za ndani Kama tuna uwezo wa kukusanya trion 1.8+ tunakwama wapi?
Nilitegemea pesa zote za covid19 zingeelekezwa kwenye Utalii, Kununua mazao yote ya wakulima walioanguka, Kuweka ruzuku kwenye mbolea ili wakulima walime Tena, Kuanzisha project za kilimo Cha umwagiliaji ili kuwa na uhakika wa chakula, Kutafuta masoko ya mazao ya wakulima nje na kufufua viwanda na biashara zilizokufa.
Imagine mfuko wa mbolea 50kg Ni laki moja wakati gunia la mahindi Ni elfu 30 halafu unaenda kulipia cash ndege billion 500. Wakati 80% Ya watanzania wapo kwenye kilimo!!
Mama Samia bado hashauriwi vizuri ama anajishauri vibaya wengi tuliaminishwa Magufuli hashauriki kumbe hata washauri hakuna Kuna watu wa kujikomba kwa watawala tu.
Unge wauliza waafgani watakuambia wamewezaje.Hivi nyie mkipewa nchi mtaiongoza kwa hela zipi? Kodi, tozo, mikopo na misaada vyote mnapinga!! Tueleze kidogo source yenu ya income mkipewa nchi itakuwa ni nini?
Mkuu, endelea kupiga mtori. Nyama utazikuta chiniRais bado ananua ndege cash wakati uchumi unapumlia mashine?
Rais anakopa kujenga madarasa ambayo hayalipi Kodi Wala kulipia mikopo.
Unakopa pesa ili kununua barakoa seriously pesa za kulipa huo mkopo zitatoka wapi?
Unatakiwa kukopa kutengeneza project kubwa kama SGR na Bwawa la umeme Rufiji na miradi ya barabara na maji ambayo italeta matokeo in long-run.
Project zote za Afya na elimu zilitakiwa kuwa funded na pesa za ndani Kama tuna uwezo wa kukusanya trion 1.8+ tunakwama wapi?
Nilitegemea pesa zote za covid19 zingeelekezwa kwenye Utalii, Kununua mazao yote ya wakulima walioanguka, Kuweka ruzuku kwenye mbolea ili wakulima walime Tena, Kuanzisha project za kilimo Cha umwagiliaji ili kuwa na uhakika wa chakula, Kutafuta masoko ya mazao ya wakulima nje na kufufua viwanda na biashara zilizokufa.
Imagine mfuko wa mbolea 50kg Ni laki moja wakati gunia la mahindi Ni elfu 30 halafu unaenda kulipia cash ndege billion 500. Wakati 80% Ya watanzania wapo kwenye kilimo!!
Mama Samia bado hashauriwi vizuri ama anajishauri vibaya wengi tuliaminishwa Magufuli hashauriki kumbe hata washauri hakuna Kuna watu wa kujikomba kwa watawala tu.
Unafikiri manunuzi ya ndege yanafanyika kama kununua machungwa sokoni.VIP kununua ndege cash unakubaliana naye?
Ambacho hujaelewa ni nini?Ndio maana unaona wamesema wameomba kukutana naye ili wamshauri,Rais anaweza akakataa au kukubali!Na chama kinaweza kukaa bila kuishauri serikali na kikaendelea kutambulika na msajili!Sasa hiyo unayosema mshauri mkuu Wa serikali ni vyama vya siasa umeitoa wapi?Kama umemsikiliza jana NKM wa CDM kwenye press yake basi utajua majukumu ya vyama vya siasa ni nini!! Katika moja ya hoja zake amesema wameomba kuonana na Samia ili KUMSHAURI namna ya kuongoza nchi vizuri bila mikwaruzano! Ingekuwa wabunge ndiyo washauri pekee wa Rais basi Samia asingekubali kuonana na wapinzani kwa sasa maana bunge ni la CCM tupu! Ninachojua kazi ya bunge ni kutunga sheria na kuisimamia serikali, sijawahi sikia mahali eti mbunge kazi yake ni kuishauri serikali, huyo atakuwa ni mbunge asiye na meno!!
Huyo mleta mada kashauri ujinga, kiushabiki, umeshaambiwa huo mkopo una masharti nafuu then yeye anasema kwa nini wanajenga hiki, wananunua hiki, ndiyo masharti ya mkopo hayo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanao mshauri wanajua kwamba wana mpotosha.
Hao ni kina Mwigulu. Rais wa kwenye mawe. Nae anautaka urais. Hivyo Mama akiboronga ni credit kwa wataka urais.
Mama yeye bado haja soma hiyooo...
[emoji134][emoji134][emoji134]Rais kafanya jambo jema sana kukutana na wasanii
Ova
So waafghan hawatozi tozo, kodi, hawakopi and hawapewi misaada?Unge wauliza waafgani watakuambia wamewezaje.
Rais bado ananua ndege cash wakati uchumi unapumlia mashine?
Rais anakopa kujenga madarasa ambayo hayalipi Kodi Wala kulipia mikopo.
Unakopa pesa ili kununua barakoa seriously pesa za kulipa huo mkopo zitatoka wapi?
Unatakiwa kukopa kutengeneza project kubwa kama SGR na Bwawa la umeme Rufiji na miradi ya barabara na maji ambayo italeta matokeo in long-run.
Project zote za Afya na elimu zilitakiwa kuwa funded na pesa za ndani Kama tuna uwezo wa kukusanya trion 1.8+ tunakwama wapi?
Nilitegemea pesa zote za covid19 zingeelekezwa kwenye Utalii, Kununua mazao yote ya wakulima walioanguka, Kuweka ruzuku kwenye mbolea ili wakulima walime Tena, Kuanzisha project za kilimo Cha umwagiliaji ili kuwa na uhakika wa chakula, Kutafuta masoko ya mazao ya wakulima nje na kufufua viwanda na biashara zilizokufa.
Imagine mfuko wa mbolea 50kg Ni laki moja wakati gunia la mahindi Ni elfu 30 halafu unaenda kulipia cash ndege billion 500. Wakati 80% Ya watanzania wapo kwenye kilimo!!
Mama Samia bado hashauriwi vizuri ama anajishauri vibaya wengi tuliaminishwa Magufuli hashauriki kumbe hata washauri hakuna Kuna watu wa kujikomba kwa watawala tu.
Sasa wanashindwaje kuongoza nchi waliyoikomboa wenyewe.So waafghan hawatozi tozo, kodi, hawakopi and hawapewi misaada?