JERUSALEM 2006
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 527
- 596
- Thread starter
-
- #81
Kuanzia jana mimi na mke wangu tumeanza maombi kwa Mungu ampende zaidi mama kabla hajaturudisha kwenye uongozi kama wa dikteta magufuli
Hahahahah walipindisha akina Aikaeli na genge lake la UKAWA na sasa COVID19 wanaendelea kupindisha ila tumewakaukia tunajenga uchumi kwanza
sasa kama una akili hebu sema katibba ya sasa inakosa gani au inakunyoima maendeleo kivipi ukijibu hayo nitakuona una akili ukishindwa nitakuona kama changudoa tu anaye vizia walevi wambandue maana utakuwa hujijui hata unataka nini
He was the worst. Huoni jinsi aliowafunga bila kosa wanavyoachiwa huru? Huoni waliotozwa mifaini isiyo hata na kichwa wala miguu wanaambiwa warudishiwe chao. Huoni DC jambazi aliyekuwa kipenzi chake anavyopata haki yake? He was the worst ever happened in Tanzania. Tumwache mama airudishe nchi kwenye mstari.Tuliwaambia JPM ni the best president, mkabishi. Haya sasa mnajinyatua kurudi taratiiiiibu
Kuna wachina walitaka kuwekeza 3 milioni US$ huko Tanga. Kilichotokea ni ujinga wa mkuu wa wilaya kutaka "rushwa" ili atoe go ahead. Taarifa zipo kwa Prof. K. Mkumbo. Wakuu wa Wilaya ni vyeo ambavyo "vinachelewesha" kuwepo kwa pesa nyingi mtaani,kama hujui.wacheni mama apige kazi, tunataka pesa hayo mengine baadaye. Maisha bila pesa mjini hayaendi
siyo geni kikwete alikuwa kama yeye? mkapa alikuwa kama yeye? mwinyi alikuwa kama yeye? au hao waliyumia katiba gani? hujui unaweza ukaleta hiyo unayotaka na mtawala akafanya anavyotaka? utamfanya nini? yupo madarakani utamfanya nini?Acha uzwazwa, hivi hujui umungu mtu wa mwendazake umesababishwa na katiba yetu ya sasa?? Au hilo nalo ni geni kwako
Kwa hiyo wananchi wote walioshiriki kwenye mchakato wa kutoa maoni kwa ajili ya Katiba Mpya miaka ya 2012, walikuwa wote ni Chadema!
Uvccm hamjawahi kabisa kumiliki akili!
Mkuu, mama anatenda kwa mujibu wa Matakwa ya wananchi walio wengi (wana-CCM).What are you implying then, that let her be feared?
Mshauri Mama atende kwa majubi wa matakwa ya wananchi walio wengi na kwa mujibu wa sheria zetu.
We dont need favor nor sympathy from her, we need our rights to be fully exercised.
hivi wewe una akilikweli hivi ungekuwa wewe upo pale madarakani ungeweza kuresign kilahisi namna hiyo eti tu kulinda legacy ya nini hiyo kitu?
Tuliwaambia JPM ni the best president, mkabishi. Haya sasa mnajinyatua kurudi taratiiiiibu
Mkuu, mama anatenda kwa mujibu wa Matakwa ya wananchi walio wengi (wana-CCM).
Au hilo pia ni la kubishana??
Itafika hatua hatutaiomba tena hiyo katiba, tutai demand by all means, kwa hiyo kiongozi bora ni yule anayejali waliowengi kwani siku nchi ikiamua atatamani kuruisha siku nyuma.
Kuna mifano mingi ya nchi nyingi
Kwahiyo ndugu ushabadilika sasa???? Kwahiyo mama asisikilize tena matakwa ya watu walio wengi?? Kwa sababu sio wa kweli???πππWanachama walio wengi sio wakweli. Wengi wanayafuta namna ya kunufaka na kiti cha Urais hasa kwa kumfurahisha rais aliyeko madarakani.
Mfano hai, Rais wa sasa ndiye alikuwa mshauri namba moja wa Mtangulizi wake, ndiye alikuwa msaidizi namba moja, lakini wote ni mashahidi kwamba mambo mengi aliyoyafanya mtangulizi wake hakukubaliana nayo, mathalani hakuwahi kumshauri vinginevyo na kama alimshauri akakataa angechukua hatua ya ku resign kulinda legacy yake.
Hivyo basi, kwa nature ya taifa letu watakao sema ukweli kwa manufaa ya taifa ni wale wasiofaidika na uongozi wa kisiasa au teuzi za moja kwa moja za Rais.
Mifano hai ni kutoka kwa mwendazake
sasa katiba inakuzuia nini kupata ubunge kama watu wanakupenda si watakupa kwani hakuna wabunge wa upinzani bungeni siwapo? na wamepita kwa katiba hihiii
Unafikiri mi kasuku? Jinga la kutupwa wewe, nasema hivi huwezi sema wewe ni mkristo huku hutaki biblia ama kujiita muslim huku hutaki kitabu kitakatifu. Full stop na ukitaka nieleze mapungufu ya katiba hii ya sasa utakua umeondoka kwenye ujinga umekua mpumbavu, maana iko wazi hii katiba ya sasa ni shida kwakweli.sasa kama una akili hebu sema katibba ya sasa inakosa gani au inakunyoima maendeleo kivipi ukijibu hayo nitakuona una akili ukishindwa nitakuona kama changudoa tu anaye vizia walevi wambandue maana utakuwa hujijui hata unataka nini
Si ndio waliochagua CCM ikashinda law kishundu au??Wanaccm wako wengi?
siyo geni kikwete alikuwa kama yeye? mkapa alikuwa kama yeye? mwinyi alikuwa kama yeye? au hao waliyumia katiba gani? hujui unaweza ukaleta hiyo unayotaka na mtawala akafanya anavyotaka? utamfanya nini? yupo madarakani utamfanya nini?