Rais Samia: Hatukutoa fursa ya Mikutano ya hadhara watu wakavunje sheria, wasimame kutukana, kukashifu na kuchambua dini za wengine

Wawapeleke mahakamani hao wanaotukana tukayajue hayo matusi. Misisiemu pumzi ilishakata inatapatapa tu kutafuta huru za wajinga.
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwafrika ni lazima awe controlled , ukimpa uhuru ulipoilitilza wanakuw ahawana adabu kabisa. Mfano halisi ni MZEE Odinga almnusuru aingize KENYA kwenye machafuko kisa ni uhuru.
Kwa mtazamo wako tulitakiwa tuendelee kutawaliwa na mzungu ili tusije kosa adabu kabisa!

Amandla...
 
Ama kweli chichiem majanga🤸🤸🤸
 
Pale wajinga wanapo pewa madaraka, hujiona wenye akili na maarifa kumbe ni Sawa na empty box.
 
Bureau de Change...
 
kule nyumbani kwetu ukimwambia mzee mtu mzima"mzee wewe ni mjinga"inahesabika ni tusi pia.

lakini huku mjini ukimwambia mtu wewe ni mjinga,atakuuliza kwanza unamwita mjinga sababu gani??

kwa ndugu zetu CCM jambo lolote kumweleza ukweli akaumia anahesabu ni tusi,
 
Hizo hadaa za Samia ndizo alizotaka kumuuzia Mbowe. Al manusra; ilibaki kidogo sana Mbowe atekwe kabla ya kurudi kwenye chama na kurudiwa naakili timamu iliyokwishamruka.

Tulisema tokea mwanzo kabisa anachukua madaraka huyu mama, kwamba tofauti yake na Magufuli ni njia tu za ukandamizaji, lakini matokeo ni yaleyale..
Lakini ubaya wa huyu ni kuwa haumizi tu mtu binafsi au kundi dogo, huyu anaumiza nchi nzima, taifa analididimiza kabisa huku akitumia kisauti chororo na laini kuwapumbaza watu.

Haya, sasa anataka kutengeneza katiba anavyotaka yeye, watu wakisema na kuwa na matakwa yake wataonekana wanatukana!

Wakipinga chochote anachofanya kwa hadaa, atalalamika wanatukana.
 
Huwezi kuamini kwamba huyu ndiye aliyoongoza Bunge la Katiba la upatikanaji wa katiba mpya akiwa na hayati Samuel Sitta. Pia huwezi kuamini kwamba huyu ndiye aliahidi mapema Januari mwaka huu kwamba ataunda kamati ya kupata katiba mpya...
Huyu ndiye alimuahidi Kamara Harris kuwa ni lazima atupatie katiba hata kama itamgharimu kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…