Rais Samia: Hatukutoa fursa ya Mikutano ya hadhara watu wakavunje sheria, wasimame kutukana, kukashifu na kuchambua dini za wengine

Rais Samia: Hatukutoa fursa ya Mikutano ya hadhara watu wakavunje sheria, wasimame kutukana, kukashifu na kuchambua dini za wengine

Sijawahi kuona duniani kote Stenographer akawa Kiongozi mzuri kwani Kitaaluma huwa ni Watu Weak Upstairs and very Incompetent.

Kama kuna nchi ambayo GENTAMYCINE naipenda ni Tanzania ambayo Viongozi wake Wote ni Wasomi Wakubwa na wana Akili na siyo kama Viongozi wa Mataifa mengine duniani ambao Elimu waliyonayo na Wanayoiringia kwa Wananchi wao ni ya kuwa Stenegraphers pekee.
 
Huo usomi wao hao watawala umesaidia nini taifa zaidi ya kulitumbukiza kwenye mdomo wa mamba
 
Differences aside, Speech yake ni nzuri. Iko neutral, inalenga heshima na utumiaji wa busara na inafundisha, hata kama tunatofautiana. Nimeipenda. Imetia moyo. Let's hope for the best
 
Nchi eti yakidemokrasia mtu mmoja anaamua kama awape haki yenu au awanyime Tena haki yakikatiba haswaaa!! AIBUUUU....
Fursa ya mikutano mnatoa ninyi au katiba ndiyo ilishatoa?
Mnaendesha nchi kikatiba au kihisia binafsi?
Mtu akitukana kwani msimpeleke mahakamani??
Mtu ndounajikuta neno lakilisu linakutoka!!!
 
Katiba mpya KAMWE HAITAPATIKANA chini ya utawala wa kiharamia wa ccm, ni tishio kwao. Ni lazima kuwe na plan B
 
Hivi huyu anajua bosi wake ni katiba sio ccm? Mikutano haikuwahi kukataza wala kuruhusiwa ni maagizo toka kwenye katiba .basi pia aseme bunge nimeacha liwepo sio kwa kutukana .lipo kikatiba .haki za vyama vya siasa vipo kikatiba sio utashi wa serikali .serikali kukerwa na wapinzani ni jambo la kawaida duniani wakipendana ni unafiki .wapi dunian rais anasema aliruhusu au kukataza maandamano? Kama Nani? Maandamano mengi huwa kumpinga rais .Sasa apiweje uwezo wakuyaamua yawepo au asiwepo kwenye nchi ya kidemokrasia??
 
Huko CDM pia hakuko sawa ‘bi tozo’ ni mropokaji tu wa siri anazopewa. Ziara ya kurudi Ngorongoro ya Lissu na team yake imefadhiliwa na vikundi nje ya CDM.

Mbowe na CDM are not interested na mambo ya Ngorongoro , ‘bi tozo’ hakuwa anaropoka tu she is informed kuna division na upuuzi mwingine unaondelea ndani ya CDM (be it wenyewe wanajaribu kuweka a United front).

Lissu anapambana vita yake, ndio maana hata kukamatwa kwao; uongozi wa juu CDM umechukua muda sana ku-respond with a statement. Vita yake sio priority ya chama.

Na Lissu hawezi siasa zisizo za fujo au kutumia fursa zilizopo za kuleta fujo. Kumuelewa raisi Samia leo alikuwa anaongea nini inataka akili kubwa (I am not a her fan at all) ila maza anaongea kwa huruma kwenye kumuelewa.

Message ya ‘bi tozo ’ ilikuwa msimsukume kutumia mamlaka yake na sheria za nchi; kuilinda Tanzania. Anachofanya ni kujaribu kuvilea tu vyama vya siasa kwa uvumilivu (sasa wote tunajua nguvu zake kikatiba akiamua ukatili).

Lissu anatakiwa ajirekebishe uvumilivu una mipaka; binafsi sipendi yaliyomkuta hawamu ya tano. Hila ‘bi tozo’ anapata somo kwanini huyo mtu ni tatizo for the state. Tena kwakwe ana afadhali kwa Magufuli alikuwa anaingilia sentive national interest issues.
 
Hivi huyu anajua bosi wake ni katiba sio ccm? Mikutano haikuwahi kukataza wala kuruhusiwa ni maagizo toka kwenye katiba .basi pia aseme bunge nimeacha liwepo sio kwa kutukana .lipo kikatiba .haki za vyama vya siasa vipo kikatiba sio utashi wa serikali .serikali kukerwa na wapinzani ni jambo la kawaida duniani wakipendana ni unafiki .wapi dunian rais anasema aliruhusu au kukataza maandamano? Kama Nani? Maandamano mengi huwa kumpinga rais .Sasa apiweje uwezo wakuyaamua yawepo au asiwepo kwenye nchi ya kidemokrasia??
Anakwenda kuhutubia fisi mbugani?
 
Samia hana jipya baada ya kutaka kuuza bandari na ngorongoro hataaminika tena hata aongee lugha gani
 
#Kuhusu #hotuba ya #Rais #leo;

1. Ametumia #muda mwingi kuzungumzia Chadema kuliko kilichompeleka kwenye mkutano. As the result Chadema imekua agenda kubwa kuliko mkutano wenyewe. Hapa Chadema 3, Msajili 0.

2. #Hana taarifa sahihi jamii inavyomchukulia. Aache kukumbatia "chawa" atumie vyombo vyake kujua hali halisi ilivyo mtaani. Ni tofauti kabisa na anavyojiaminisha. Watu wamemkinai mno.

3. Anadai #kuunda kikosi cha kufuatilia maoni #mtandaoni na kuyafanyia kazi. Awamu ya 5 kilikuwepo kikosi kama hicho na wakosoaji walipotea, kukamatwa na wengine kuumizwa. Je anataka kuturudisha zama hizo za giza?

4. #Anadai anapenda kukosolewa, lakini ukimsikiliza dhamiri inakataa. Angekua anapenda kukosolewa leo TEC wangealikwa. Kanisa lenye nusu ya Wakristo wote nchini linakosaje mwaliko?

5. #Chawa wamemwaminisha wanaomkosoa wanamtukana. Hawezi kutofautisha ukosoaji na matusi. Kupinga mkataba wa bandari sio matusi. Kutetea Wamasai wa Ngorongoro sio matusi. Kudai Katiba mpya sio matusi. Wapuuze wanaokuaminisha hivyo.

6. Anasema #uhuru wa #maoni una mipaka, lakini anaamini yeye ndio mwenye kipimo cha kuweka hiyo mipaka. Wanaotoa maoni yasiyomfurahisha anadhani wanatumia uhuru wao vibaya [emoji1787].

7. Waliomwambia #JPM kwamba Katiba ni kitabu kisichoweza kuleta maendeleo, ndio haohao wanaomwambia Samia kuwa Katiba ni kitabu tu, kinaweza kuwepo na kisifuatwe. Ni aibu kiongozi aliyeapa kulinda Katiba kutamka maneno haya hadharani.

8. #Watanzania wanataka #Katibampya sio elimu ya Katiba. Katiba ni vile jamii inavyotaka kujiongoza yenyewe. Watanzania wanajua wanataka waongozwe vipi. Walishatoa maoni yao Tume ya Warioba. Hawahitaji kufundishwa tena kuhusu hilo.

9. #Mabalozi walioalikwa leo kuna jinsi wamebadili mtizamo wao kwa Rais Samia. Wengi wamekua "disappointed" na hotuba yake. Ni hotuba mbovu zaidi tangu aingie madarakani.

10. #Tusubirie zile ramli za #Polisi kwamba "Taarifa za kiitelijensia zinaonesha uvunjifu wa amani, hivyo mkutano wenu umezuiwa"

Kwa kifupi Mama ameturudisha zama za "jiwe"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu Prof. Rwekaza Mukandara atoe report kwamba uchaguzi wa 2020 ulikuwa huru na haki, alipoteza credibility.
 
Umeweza kuwasambaratisha chadema na TEC Yao kwa speech yako iliyojaa hekima ya Hali ya juu sana. Huku mitandaoni ni matusi kwa kwenda mbele hawakuami kuwa una akili kubwa kiasi hicho.

Tangu Jana Kina mdude et al wanavurumisha matusi tu mana umewaumbua sana na hawana pa kushika kwa Sasa.
 
Kazi nzuri sana kijana. Uwe unaweka na namba ya simu namna ya kukufikia tafadhali.

Kuna mtu atakutafta dm, mpe ushirikiano.

Kazi nzuri sana.
 
Umeweza kuwasambaratisha chadema na TEC Yao kwa speech yako iliyojaa hekima ya Hali ya juu sana. Huku mitandaoni ni matusi kwa kwenda mbele hawakuami kuwa una akili kubwa kiasi hicho.

Tangu Jana Kina mdude et al wanavurumisha matusi tu mana umewaumbua sana na hawana pa kushika kwa Sasa.
NYIE NDIO mnamharibu Mama kwa mawazo HHAYA!
 
Back
Top Bottom