Rais Samia haupigi mwingi tena, kuna dalili za kutosha kuwa Uchumi utamuelemea

Rais Samia haupigi mwingi tena, kuna dalili za kutosha kuwa Uchumi utamuelemea

Sasa hivi kwenye mbolea ni kilio cha kusaga meno. Mfuko uliokuwa unauzwa 25000 per 50kg, sasa unauzwa 50000. Imepanda double [emoji1]
Unatamani kucheka lakini unaogopa, hali inaenda kuwa mbaya kuliko tulivyodhani
 
Nimeona hoja hapo Dar,Dodoma
Dodoma, Dar.....
hv mama hawezi kukaa sehemu moja akapiga kazi zake......
tukumbuke technology inalimit physical movement kwa kiasi kikubwa sana.....
Dar kwake; Dodoma kazini. Anaenda kazini asubuhi na kurudi nyumbani jioni. "Cost consciousness" kwake ni sufuri. Miamala kwenye simu zetu marofa italipa.
 
Nimeangalia kwa mfano viwango vipya vya tozo za miamala ya kutuma fedha na kutoa fedha kupitia mitandao ya simu, Gharama zake zimeongezeka sana wakati mwingine kuwa hata mara mbili ya ilivyokuwa hapo awali...

Ili kukamilisha miradi ya kimkakati iliyoanzishwa na Serukali ya Awamu ya Tano, kwa kutumia fedha za ndani, mama Samia anatarajia kuikamilisha kwa mikopo ya nje ambayo masharti yake yamebadilika kuwa magumu na ghali. Hii ni kwa sababu wenye kukopesha uchumi wao nao unaendelea kuathiriwa na UVIKO-19.

Kutarajia kuendesha nchi kwa kutegemea kipato cha walala hoi, ambao kula yao ni changamoto, ni kama kumkamua ng'ombe asiyelishwa vizuri ukitegemea kupata maziwa mengi.

Nchi ni tajiri, tutumie utajiri huo kujenga uchumi wa taifa na wa mtu mmoja mmoja. Serikali ya Awamu ya Tano ilionesha kuwa inawezekana.
 
Zipo kila dalili kuwa hali ya uchumi kwenye utawala huu wa Rais Samia unaenda kuwa fyongo! Hali hii itaenda kuyafanya maisha ya wananchi kuwa magumu sana...

Nchi kuwa na kiongozi mzururaji is a disgrace, na kama ulivyosema ni gharama kubwa kwa mlipakodi. Airbus 200-300 is being misused purely misused. Nini maana ya kuwa na wawakilishi mpaka kwenye level ya Wilaya?

Naambiwa kuwa Kile kiinua mgongo cha wabunge wa JPM hakikukatwa kodi. What a madness na kwenye sheria za kodi hawajasamehewa. uhuni uhuni tu, na maisha yanaendelea.

Ni vizuri wakajua kwamba wanayoyafanya walipa kodi wanayajua certainly ipo siku. narudia ipo siku watakataa kubebeshwa mizigo mizito wanayoibeba sasa hivi.
 
Furaha imerejea mtaani, uwekezaji umeshamiri, Uhuru wa kuongea umerudi...unapigwa mwingi.
Hoja ni kwamba wanawekeza kina Nani kitu kingine mmeruhusu wageni kumiliki ardhi yenu,,,....msipoangalia myajikuta WATUMWA kwenye ardhi yenu na ya Babu zenu kwa jina la AJIRA.... Babu zenu walijitoa kupigana uhuru wenu Leo hii mko tyr kupoteza mkiwaita wazalendo madikteta...
 
Hoja ni kwamba wanawekeza kina Nani kitu kingine mmeruhusu wageni kumiliki ardhi yenu,,,....msipoangalia myajikuta WATUMWA kwenye ardhi yenu na ya Babu zenu kwa jina la AJIRA.... Babu zenu walijitoa kupigana uhuru wenu Leo hii mko tyr kupoteza mkiwaita wazalendo madikteta...
MATAGA na Sukuma Gang watakoma🤣🤣🤣🤣
 
Nadhani Siyo uchumi utamwelemea,ulishaanza kumwelemea tayari! Unafikiri Deni la Taifa alilokuta la t.71/- linalipwaje? Bado kukamilisha miradi iliyoendeshwa kwa kukwapua fedha za wafanyabiashara (fedha zetu za ndani)!
Si legasi imeshafutwa?
 
Kuna tetesi kuwa rais bado ni màgufool,wanasema hakufa Ila aliparalize na ndiye anayetoa maagizo ya kisengerema kutoka kitandani chato
 
Kuna watu eanamwaribia mama
Huu ni ujinga, hakuna anayemharibia yeye kama raisi karidhia yote hayo. Hakuna waziri anayeweza kwenda kinyume na raisi
Na Kama anazidiwa ujanja na hao unaosema wanamharibia basi HAFAI KUWA RAISI
 
Back
Top Bottom