Deni la taifa trillion 71? Sio kweli ni trillion 47Nadhani Siyo uchumi utamwelemea,ulishaanza kumwelemea tayari! Unafikiri Deni la Taifa alilokuta la t.71/- linalipwaje? Bado kukamilisha miradi iliyoendeshwa kwa kukwapua fedha za wafanyabiashara (fedha zetu za ndani)!
Na bado mtanena sana kwa lughaKwa staili hii ya kumkamua ng'ombe aliyekwishakamuliwa na kubaki kutoa damu,ataishia kumuumiza huyo ng'ombe lakini hatopata maziwa!
Hawa wafuasi wa mr dj wana shida mkuuVipi shagwe na vigelegele vimeisha Tena Mara hii!tatizo nyie nyumbu waga ni wepesi wa kusahau Kama mnyama pono.
Mlisema Bora tuwe na njaa kikubwa ni Uhuru wa kutukana na democracy uchwara Basi kule hivyo Mama kawasikia kilio chenu.
Tulia mkuu!Siyo Samia tu mwenye kupenda kuzunguuka zunguuka nchini na kushinda angani. Kuna misafara ya mawziri, maktibu wakuu, watumishi wengine kutwa kucha wako barabarani Dar-Dodoma, Dodoma-Dar. Yaani imekuwa serikali ya kusafirisafiri tu, Hawatulizani sehemu moja
Tatizo siyo safari yao, tatizo ni kuwa hizi safari ni gharama kwa mlipa kodi!
Wewe li bavicha si ndio ulikuwa unakesha hapa kumdemkia?Nasikia saluni nzuri na wasafisha kucha wazuri wote wapo Dar..
Ndio kutwa Madam kufanya hizi shunting za Dodoma-Dar-Dodoma kila kukicha.
Kuna watu mnapendwa sana kufurahishwa. Mama samia anafanya kazi nzuri kuliko marais wote waliopitaZipo kila dalili kuwa hali ya uchumi kwenye utawala huu wa Rais Samia unaenda kuwa fyongo! Hali hii itaenda kuyafanya maisha ya wananchi kuwa magumu sana...
Sasa hivi anabutuaNilijua itatokea, endeleeni kushangilia maana Sukuma gang haipo Tena.
Mama anaupiga mwingi
Ahahahahahah Shwvchenko ongeza speed, bado tuko dakika ya 6, washapigwa mbili kavu bila kinga ahahahahaFuraha imerejea mtaani, uwekezaji umeshamiri, Uhuru wa kuongea umerudi...unapigwa mwingi.
Na yote hayo mwananchi ndo ubebeshwa hapo bado mafuta petrol vijijini 2500 kwa lita,Mod naomba msibadilishe heading imekaa vizuri tuu!
HAYA NDO MAKATO MAPYA KWA MATUMIZI YA SIMU, KUTOA NA KUWEKA PESA.
MMEONA MAKATO MAPYA YA MIAMALA KUTOA KWA WAKALA????
Kutoa 100,000 ilikua 3600 sasa hivi 6,100
Kutoa 200,000 ilikua 5300 sasa hivi 8,240
Kutoa 300,000 ilikua 6500 sasa hivi 10,000
Kutoa 400000 ilikua 7000 sasa hivi 11,100
Kutoa 500,000 ilikua 7500 sasa hivi 12,700
Kutoa 600,000 ilikua 8000 sasa hivi 13,900
Kutoa 700,000 ilikua 8000 sasa hivi 15,100
Kutoa 800,000 ilikua 8000 sasa hivi 15,520
Kutoa 900,000 ilikua 8000 sasa hivi 16,900
Kutoa 1,000,000 ilikua 8000 sasa hivi 17,400
Kutoa 3,000,000 ilikua 10000 sasa hivi 20,000
Hiyo list ni ya MAKATO YA ZAMANI NA YA SASA NA HAPO NI KUTOA KWA WAKALA.
Tatizo upinzani watz kumejaa utopolo ni kama ccm bila ya magufuli ni utopolo so utopolo + utopolo =?CCM ilishakufa siku nyingi tatizo ni wananchi hawana nyuma wala mbele katika kuifutilia mbali.
Akili fupi nyingine hii hapa.....Magufuli aliifirisi hii Nchi, acha Samia arekebishe uchumi wa Nchi