Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Kajaa tele Ruyagwa.Vp zitto yupo
Ova
Juzi dollar si zimeisha mmenda kupiga magoti worldbank ...bila kuwa na good democracy unadhani mgesogeza pua...CHADEMA ndio wanawabeba ndio maana Raisi cha kwanza aliwaita wafanye maridhiano ili ajenge picha nzuri Kwa wakubwa wa Dunia..Mabalozi ndio kina nani hapa Tanzania? Wakae Kwa kutulia
Dola zinaweza patikana hata Kwa Nchi Moja Moja sio lazima WBJuzi dollar si zimeisha mmenda kupiga magoti worldbank ...bila kuwa na good democracy unadhani mgesogeza pua...CHADEMA ndio wanawabeba ndio maana Raisi cha kwanza aliwaita wafanye maridhiano ili ajenge picha nzuri Kwa wakubwa wa Dunia..
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Leop ndiyo tumejua kuwa CHADEMA si chama cha siasa bali niNaona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Hakuna mtu anaekupa Fedha bila kutafutaWanaowapa fedha za miradi.
Uelewa wako mdogo Sana...kwanini unadhani mwigulu akufunga safari kwenda hata Kwa hata hao waarabu au china au etc kupata hizo dollar..? Zaidi alienda worldbak na akapata....Dola zinaweza patikana hata Kwa Nchi Moja Moja sio lazima WB
Mgongo wa CCM kula hela za wazungu kuhusu siasa ni Chadema. Lazima wakasirike.
Kichwa Cha huyo mtu hakina Maarifa ,hakina Uwanda mpana wa ufahamu.Mwanamke wa kiafrika bado hajafikia kiwango cha kuongoza nchi. Hotuba ya leo utadhani alikuwa anhutubu kwenye kitchen party
Rais yeye kaiona haja hiyo.Binafsi sioni faida ya Chadema kushiriki au kutoshiriki
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
MABALOZI WA ULAYA UKUMBINIMabalozi wanaonekana wakituma jumbe txt kwa simu janja za kiganjani kuwa kuna hadaa kubwa ya kisiasa ya Chama Dola Kongwe CCM inaendelea Tanzania mbali ya mkutano huo pia mchakato wa marekebisho ya kupata katiba mpya n.k kufadhiliwa na balozi zao
aisee nimemchekiiii, halafu nikamhurumia sana mama. Kazi aliyokabidhiwa ni ngumu sana kwake. Kiongozi shupavu angeweza kuongea hata bila kuwazungumzia chadema. Lakini muda mwingi amemzungumzia T.A.L na CDM. Nathubutu kusema, wale mnaomshawishi mama kugombea 2025 acheni kabisa kufanya hivyo.Mwanamke wa kiafrika bado hajafikia kiwango cha kuongoza nchi. Hotuba ya leo utadhani alikuwa anhutubu kwenye kitchen party
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leop ndiyo tumejua kuwa CHADEMA si chama cha siasa bali ni
Kama unabisha- tueleze kwa nini hakikwenda kwenye mkutano wa vyma vya siasa
- chama cha wachaga
- cha ca magaidi
- chama cha wavunja sheria kwa sababui eti tu wanawanasheria
- chama cha wa wafanya fujo