Rais Samia katumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA

Hata huku makazini tuliko utaona kabisa kijana mchapa kazi, shupavu tusio na maringo. Weledi.
Ukiuliza vizuri utaambiwa yule jamaa ni CHADEMA.

Niliwahi kuandika humu kuwa hata Ukisikia Wakili au Mwanasheria Mbabe na Kichwa kikali basi hutakuta mahali pengine bali ni CHADEMA.

Hotuba ya Mh Rais Samia imedhihirisha kuwa kikao cha leo cha baraza la vyama vya siasa na wadau wa demokrasi hakihitaji Zitto, Lipumba wala Chongola na Chalamila bali kilihitaji Watu wazito wenye weledi na hoja kuntu kama Mh Mbowe na Mh Tundu Lissu.

Sikiliza Hotuba ya Rais Samia utaona Njaa ya kuijosa CHADEMA kwenye jambo lao.
Alikuwa frustrated Sana Leo. Nadhani ameumia Sana kuwakosa.
 
Rais wetu aangalie Sana washauri wake ..hawampi taarifa Sahihi…..,kama chadema peke yake ndio hawajaja yeye asingehangaika nao Bali angetoa hotuba tu ..
Inatoa picha gani kwa wale ambao wamefika pale ?? Ina maana CDM ni bora zaidi ..
Hata Mimi nilishangaa Sana. Angejikita kwenye Hali ya siasa nchini, mchakato wa katiba bila kuhusisha harakati za CHADEMA. Kila kitu akiongea ana refer CHADEMA.
 
Mwanamke wa kiafrika bado hajafikia kiwango cha kuongoza nchi. Hotuba ya leo utadhani alikuwa anhutubu kwenye kitchen party
Ni mamako tu hajafikia kiwango cha kuongoza. Binti kuwa na nidhamu kwa kiongozi wa nchi. Usidhani uko salama sana.
 
Hata huku makazini tuliko utaona kabisa kijana mchapa kazi, shupavu tusio na maringo. Weledi.
Ukiuliza vizuri utaambiwa yule jamaa ni CHADEMA.

Niliwahi kuandika humu kuwa hata Ukisikia Wakili au Mwanasheria Mbabe na Kichwa kikali basi hutakuta mahali pengine bali ni CHADEMA.

Hotuba ya Mh Rais Samia imedhihirisha kuwa kikao cha leo cha baraza la vyama vya siasa na wadau wa demokrasi hakihitaji Zitto, Lipumba wala Chongola na Chalamila bali kilihitaji Watu wazito wenye weledi na hoja kuntu kama Mh Mbowe na Mh Tundu Lissu.

Sikiliza Hotuba ya Rais Samia utaona Njaa ya kuijosa CHADEMA kwenye jambo lao.
Kweli kabisa. Ukiwa mtu wa misimamo na kujitegemea bila uchawa, wanadai wewe CHADEMA
 
Pengine walitaka pesa ya kuvutia dollars EU na WB na moja ya masharti ni “democracy” , wamekosa picture opportunity ….Sijaona mantiki kabisa ya Rais kukasirika na kuumia hadi kigugumizi wakati kina Cheyo walikuwa pale ….
Mgongo wa CCM kula hela za wazungu kuhusu siasa ni Chadema. Lazima wakasirike.
 
Pengine walitaka pesa ya kuvutia dollars EU na WB na moja ya masharti ni “democracy” , wamekosa picture opportunity ….Sijaona mantiki kabisa ya Rais kukasirika na kuumia hadi kigugumizi wakati kina Cheyo walikuwa pale ….
Pia alikosa hekima, angeziua kimya kimya bila mabalozi kujua. Sasa yeye kaanza kuropoka mara Hawa hawajaja, kwao pamoto etc.
 
Back
Top Bottom