Rais Samia katumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA

Rais Samia katumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA

ahahaa ili avute mkwanja ughaibuni chadema wanamnyima mama ulaji nimemwona kakasirika leo hao jamaa kukosekana
Mama kakasirika Sana, maana katoa millioni mia mbili kwenye kasma ya baraza halafu CHADEMA hawajaja, maana yake mkutano hauna maana.
 
Eti huko kwao kuna waka moto?? Sasa mbona hayahusiani?

Tuliwambia Bila Chadema hakuna tangible discusion hapo.

Mama mwenyewe anajua vikao bila vichwa vya Chadema ni sawa na vikao vya harusi tu.
Bi tozo bhana!

Kwahiyo kina Nape huwa wanamwamba we tulia tu maana kule kuna waka moto?

Na yeye anaamini?

Ngoja, tutammyoosha na hii dp wedi yake
 
Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
CHADEMA wana kura zangu nne.
Mwenyekiti wa Mtaa
Diwani
Mbunge
Rais
 
Tumtahadharisha toka mwanzo kuwa mbowe na genge lake ni matapeli siyo wa kuwaweka karibu. Alipaswa aruhusu upinzani mypa kama uchipuke kama ilivyokuwa CUF, NCCR na kifo cha chadema, sasa eti yeye mama yetu akataka kufufua chama cha upinzani kilichokufa Hahaha 🤣
CHADEMA kilikufa lini? Kingekufa mama asingefume Leo mpaka Kuna muda akawa anashindwa kuongea
 
Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.

Rais wetu aangalie Sana washauri wake ..hawampi taarifa Sahihi…..,kama chadema peke yake ndio hawajaja yeye asingehangaika nao Bali angetoa hotuba tu ..
Inatoa picha gani kwa wale ambao wamefika pale ?? Ina maana CDM ni bora zaidi ..
 
DUNIA NZIMA INAJUA UPINZANI TANZANIA NI CHADEMA. Hao CUF au ACT etc wasingehudhuria leo hata isingejulikana kama hawapo..all donors countries and other international community etc wanajua CHADEMA ndio democracy bila hao hamna democracy
Kweli kabisa. Na CHADEMA kilipimwa vizuri kipindi Cha Magufuli kikajitofautisha na mamluki wengine.
 
Back
Top Bottom