Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe.Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Eti huko kwao kuna waka moto?? Sasa mbona hayahusiani?Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zidumu tu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama
Mwanamke wa kiafrika bado hajafikia kiwango cha kuongoza nchi. Hotuba ya leo utadhani alikuwa anahutubu kwenye kitchen partyNaona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Heheheeee Moto wa chadema uko dhahiriMagufuli hakuwa mjinga kutoiamini Chadema
Chadema ni Chama Cha Mabwanyenye wengine wako huko huko CCM 😂😂🔥🌟
Chadema inatambulika Duniani na Mbowe ni Boss huko Duniani ila Zitto Kabwe ni localEti huko kwao kuna waka moto?? Sasa mbona hayahusiani?
Tuliwambia Bila Chadema hakuna tangible discusion hapo.
Mama mwenyewe anajua vikao bila vichwa vya Chadema ni sawa na vikao vya harusi tu.
Hata Magufuli alikuwa hivi hivi.Mwanamke wa kiafrika bado hajafikia kiwango cha kuongoza nchi. Hotuba ya leo utadhani alikuwa anhutubu kwenye kitchen party
Hehee Mbowe ni makamu mwenyekiti IDUChadema inatambulika Duniani na Mbowe ni Boss huko Duniani ila Zitto Kabwe ni local
Analeta mipasho ya Taarab kwenye uongozi!Mwanamke wa kiafrika bado hajafikia kiwango cha kuongoza nchi. Hotuba ya leo utadhani alikuwa anhutubu kwenye kitchen party
Msikilize Rais wewe acha porojo.Chadema lazima watambue kwamba mchawi wao ni mbowe,amegeuza Hiko Chama kuwa ni chama Cha ukoo
Ukiondoa siku ya ufunguzi wa Bunge 2015 hakunaga mahali Magufuli alienda halafu Mbunge wa Chadema asihudhurieHata Magufuli alikuwa hivi hivi.
Chadema ni ya moto tangu enzi
Ni kama TEC Wakosekane kwenye kikao cha viongozi wa dini. Hicho siyo kikao ni TamashaNaona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
CHADEMA wanajua sana kukera hawataki demokrasia ya maneno bila vitendo maza aache kurembuarembua tuNaona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Kwa vitisho vyakeUkiondoa siku ya ufunguzi wa Bunge 2015 hakunaga mahali Magufuli alienda halafu Mbunge wa Chadema asihudhurie
Pale Mbeya Mjini Sugu alipanda kabisa kwenye gari la Shujaa Magufuli 😂😂🔥🐼
zitto c amehudhuria kunashida kwaniMagufuli hakuwa mjinga kutoiamini Chadema
Chadema ni Chama Cha Mabwanyenye wengine wako huko huko CCM 😂😂🔥🌟