Rais Samia katumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA

Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe.

Mama amechukia sana Chadema kutohudhuria.

Lakini sasa hakuna namna.
 
Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Eti huko kwao kuna waka moto?? Sasa mbona hayahusiani?

Tuliwambia Bila Chadema hakuna tangible discusion hapo.

Mama mwenyewe anajua vikao bila vichwa vya Chadema ni sawa na vikao vya harusi tu.
 
Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Mwanamke wa kiafrika bado hajafikia kiwango cha kuongoza nchi. Hotuba ya leo utadhani alikuwa anahutubu kwenye kitchen party
 
Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Ni kama TEC Wakosekane kwenye kikao cha viongozi wa dini. Hicho siyo kikao ni Tamasha
 
Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
CHADEMA wanajua sana kukera hawataki demokrasia ya maneno bila vitendo maza aache kurembuarembua tu
 
Back
Top Bottom