Rais Samia, kiingereza cha Waziri wa Elimu kinatia doa Wizara ya Elimu


Ni bahati mbaya wanaotetea kutokujua kingereza siyo hoja ya msingi na kwamba hata wachina hawaongei kingereza, mimi nasema hivyo tukitaka kuachana na kingezera basi tuachane na kila kitu cha mzungu.
Huwezi kusoma darasa la kwanza mpaka form six then chuo kwa kutumia hicho kingereza halafu unasema kingereza hakima maana yeyote!
 
Mimi nikiri kabisa kuwa hakuna waziri ninaemchukia kama huyu mama. Sina chuki personal ila nauchukia mfumo wa elimu Tanzania na naona kabisa kikwazo cha kwanza ni huyu waziri.

Yani huyu ni zero brain kabisa ilifaa awe anavua migebuka ziwani huko.
Unamchukia Bure tu. Mfumo wa elimu ni mbovu kutokea enzi na enzi. Tatizo Watanzania mnaangalia mlipodondokea ila hamuangalii mlipojikwaa.
 
Ndalichako na English ugomvi wao utachukua muda ssna kuisha,ninyi wenyewe ni mashahidi.
 
Hapa wasijione wanyonge, uwezi ukawa na fluent English kwa kusoma tu, lazima ukaishi nao wanaozungumza lugha hiyo. Naona kuna mchina alijifunza Kiswahili na hadi alikuwa anaongea kihehe kwani alienda kuishi kijijini kabisa na aliishi na kufuata tamaduni za huko, huko ndio kubobea kwa lugha. Sio darasani tu, lazima uaibike!
 
Duh...aibu kubwa hii, halafu eti ni Profesa, yaani Profesa English inampa tabu kiasi hiki?
 
You are going to stay inside.
Na kuna sehemu anasema we will put you on the cell😂😂
 
Kwani ni waziri wa Uingereza au serikali ya Kiingereza hadi anawatumikia Wao.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…