ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Hao jamaa wanatafuta justification tu, mama aongeze bidii kwenye kuongeza misamiati tu ya hiyo lughaProf. Mwandosya unamfahamu?Unajua alisomea kitu gani?Ulishawahi kukisikia kiingereza chake akiongea?
Hao wenyewe wanaongea hiyo broken english, hawa "embrace" hiko Kiswahili.Ndio kwanza watoto wao wamewapeleka huko "english medium"I don’t think and/or believe speaking good English (as the Brits do) as the measure of intelligence.... Why can’t we embrace our own languages?
Joto la mwili lilipanda🤣View attachment 2046608
Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?
Anaweza akawa mzuri sana kwenye written English na akawa yuko Njema sana kwenye field yake hawa jamaa hua wanangalia mambo mengi sana kabla hujawa profKwa kimalkia anachoongea Prof., ni kwamba hata Baraza lililomtunukia u-profesa huyu Mama linaonekana ni la mchongo!
Huyu mother tongue imemuathiri hawezi kubadilika hata akakae USA bado hawezi kubadilika. Kama wasukuma wa mwanza wanaandika "Baba" ila wanasoma "Bhabha".
Wewe mbona hujapewa huo U-Profesa? Kasulu tunasimama na Mama. Kazi Iendeleehuyu hata uprofesa wake utakuta ni wa kupewa tuu, hakuna lolote hapo.
😁😁😁 Dagaa ni mboga lakini maharagwe ni mwishooo!Wewe mbona hujapewa huo U-Profesa? Kasulu tunasimama na Mama. Kazi Iendelee
immediately ndio point yake. Ikiwa imetamkwa "imidietry"Sijamuelewa anazungumzia nn..aaah aah nyingi, point yake ipi hasa
Usichanganye mada ,huyu ni prof aliyefika hapo kupitia hiyo lugha inakuwaje anashindwa kuimuduMtoa mada embu jaribu kumsikiliza Mzungu aliyejifunza kiswahili then msikilize, ukikuta anazungumza kwa ufasaha ndio uje uhitimishe kuwa lugha ndio kipimo cha uelewa wa mtu. Lugha ambayo sio mother tongue huwa inasumbua wote.
Ni sawa kabisa kama utafanya kazi za ofisini na viwandani lakini siyo kuwa mwalimu wala mwanasiasa kwa kuwa utashindwa kujieleza na kueleweka na hivyo kuwapa tabu wanafunzi wako na wananchi kwa ujumla.Kutokuwa fluent kwenye lugha haina maana wewe siyo kichwa kwenye eneo lako la kitaaluma, hivi mtu aliyebobea kwenye mahesabu au uhandisi ana haja yoyote ya kuupepeta ung'eng'e kama Tony Blair.........
Nyie 😂😂😂acheni hii lughaView attachment 2046608
Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?
Msikilize bongozozo anavochapa kiswahili halafu fananisha na hizi aaah aah aah za huyu prof.Mtoa mada embu jaribu kumsikiliza Mzungu aliyejifunza kiswahili then msikilize, ukikuta anazungumza kwa ufasaha ndio uje uhitimishe kuwa lugha ndio kipimo cha uelewa wa mtu. Lugha ambayo sio mother tongue huwa inasumbua wote.
Wanigeria wana grammar nzuri ingawa mother tongue ni mbovu.Issue siyo mother tongue mbona maprofesa wa Kihaya wana lafudhi ya Kihaya but wanapiga ngeli kali tuu?
Vyeo vinapewa kwa misingi ya gender unategemea niniHuyu mama zero kabisa Ajabu anaongoza wizara nyeti Kama hii