Rais Samia, kiingereza cha Waziri wa Elimu kinatia doa Wizara ya Elimu

Ukiacha effect ya "mother tongue" ,flow yake haieleweki.
Hicho kipande amechanganya mambo mengi,kiufupi haeleweki!
Awe mjumbe kwenye kamati huko.Hapo kwenye Elimu hatoshi.
 
Ni sawa kabisa kama utafanya kazi za ofisini na viwandani lakini siyo kuwa mwalimu wala mwanasiasa kwa kuwa utashindwa kujieleza na kueleweka na hivyo kuwapa tabu wanafunzi wako na wananchi kwa ujumla.
Kufundisha mahesabu ya engineeering unahitaji kujieleza kwa kiasi gani zaidi ya kushuka calculations, unataka kusema waziri ni bubu wakati tunamsikia akiongea kila mara.........haya mambo ya maelezo meeeeengi mnayo nyinyi huko mangwini, huku kwenye science tuna deal na facts tu hatuna longolongo nyingi.............
 
Huwa hata akiwa anaongea kiswahili anajichanganya sana kwenye kuongea unaweza usielewe anaongea nini.
Ukiacha effect ya "mother tongue" ,flow yake haieleweki.
Hicho kipande amechanganya mambo mengi,kiufupi haeleweki!
Awe mjumbe kwenye kamati huko.Hapo kwenye Elimu hatoshi.
 
Dah ila huyu kwa kweli alikuwa hajui kiingereza, yaani anazidiwa hata na kijana wangu wa diploma tu.
 
Phd watu wananunua machapisho wala msiogope kuona mtu ana phd siku hizi....kuna mama mmoja nilikuwa nafanya nae kazi huko katavi yeye aliniambia masters yake aliinunua million 11....
Hao wananunua vyuo vya mitaani
 
nawaona wasomi wasiojua kizungu mkijitetea
 
Y yvv7
7l l 7v7lyg7g7ggygl76hg7 lyv7l7 vlpl up pvvg7g up 7.pp07pgvpgl.gp7p77ppvug
Ya pvp ya ppl g0 ft ugy0llly
 
Hii kwa lugha nyepesi kabisa tunaita broken English.

Museven anaongea English kwa lafudhi ya Kiganda lakini anaongea kingereza fasaha.

Huyu mama hamna kitu, na hawa ndio vipenzi wa Magufuli sasa unaweza kupata picha.
 
Huna haja ya utetezi wote huo, kiingereza cha Prof Ndalichako ni dhaifu sana kwa elimu na uzoefu wake. Wahadhiri wote lugha yao ya kufundishia ni kiingereza kwa sehemu kubwa, sasa kwa hiyo english aliwezaje? Hakuna kiingereza cha mahesabu wakati wa kuwasiliana ni vizuri kuukubali ukweli tu
 
Kuna namna watu wanashindwa kuelewa, huwezi kama mwafrika na mtanzania kuzungumza British accent unless uwe hujaathiriwa na mother tongue. Huyu mama hawezi kuzungumza English kwa British accent, atazungumza kwa Kiha accent na hiyo ni kawaida sana.

Je, kuna broken English anayozungumza au ni athari za mother tongue tu? Kama ni mother tongue tusimlaumu, kama ni broken hapo sawa.
 
Tofautisha mama Samia na Joyce, mmoja kaathiriwa na mother tongue, mwingine ni mtu wa mwambao ana fluency hata kwenye Kiswahili, ulimi wake unanyumbulika kirahisi kwa hiyo yeye kuongea kingereza kama muingereza inawezekana sana.

Swali ni je, Samia anaweza kutoa content ya maana akiongea? Au atatema mashudu tu.
 
Tena unaonyesha ulivyo mjinga wa hali ya juu kwa kusingizia science! Sijaona mwana science mjinga asiyefahamu lugha akaandika kitabu! Sihahudhuria seminar wala workshop ya Wana science wakiwasilisha mada zao kwa broken english.

Science maana yake siyo kuwa mjinga wa lugha. Ndani ya science kuna utajiri mkubwa sana wa lugha mchanganyiko zikiwemo hata lugha zinazopotea kama kilatini.

Tatizo la mtu kama wewe ni kukariri na kutumia muda mrefu kujikaririsha badala ya kuelewa. Ukifahamu lugha utafurahia science yako! Facts zinatolewa na kuelezwa vizuri kwa lugha fasaha!

Ebu tuambizane ukweli, unawezaje kuwa mwana science mzuri bila kufahamu lugha? Huyo atakuwa mbabaishaji tu! Yaani mtu uweze kufuatilia calculus vizuri halafu ushindwe ku- construct english sentence nzuri ya kuelezea hoja yako!
 
Hapa hatuongelei accent wewe. muwe mnajaribu kusoma kabla ya kurukia mada
 
Kwenye science kuna terminologies siyo maneno ya kwenye kanga kama ya ungwinini, ndo maana ni vigumu sana kuwaelezea mangwini kama wewe scientific concepts kwa undani zaidi ya kuwapa juu juu tu kulingana na uelewa wenu mdogo....
 
nawaona wasomi wasiojua kizungu mkijitetea
Kibongobongo wanaoweza kuongea fluent english huenda hawafiki hata 10, wengine ni kukandikija tu na kutafuta tafuta maneno.......ni ngumu kujenga misamiati ya kutosha kwenye lugha ambayo huitumii kwenye mawasiliano yako ya kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…