Rais Samia, kiingereza cha Waziri wa Elimu kinatia doa Wizara ya Elimu

Naweza kuthibitisha kuwa watu wengi wameshindwa kufuatilia masomo ya science kwa sababu walimu wao walikuwa wanashindwa kujieleza vizuri kwa kutumia kiingereza. Vinginevyo masomo ya science ni sawa na masomo mengine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
huyo mama mtamponda kwenye kiingereza, ila kwenye hisabati, narejea tena kwenye HISABATI mtakuja na ukoo wenu mzima kama sio mkoa wenu wote na bado hamtamgusa

huyo ni Genious acha kabisa
Nakubali [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbuka ana chupi huyu na Kuna wakati anaivua ili watu wapate burdani.
Kuna kitu nimekigundua. Walimu wa vyuo hawaangaliagi sura Wala chura. Wao wakiona mbudusu wanachanganyikiwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mh rais samia hebu tengua uwaziri wa ndalichako anatia doa wizara ya elimu hivi vetting ya viongozi wa kitaifa huwa inaangalia vigezo vipi? Hivi ndalichako kama waziri anaenda shule kama za St marry pale mbeya ataongea nini kwa kimombo asishangaze wanafunzi? Mh rais uteuzi wako na mtangulizi wako kwa ndalichako unatia ukakasi. Ndalichako akiongea mbele ya shule za english medium watacheka mpaka wafe.
 
Maprofesa wengi ndio kiingereza chao hicho,mtu ana PHD. Unakuta mi darasa la saba napiga ngenga kuliko yeye.
Unashindwa kuelewa waliipataje.
Mijitu inasoma tu bila kuelewa na kujifunza.
Niliwai pia kusoma bibilia kama novel mpaka nikaimaliza ila sikuelewa ingawa niliondoka na material chache zipo mpaka leo kichwani.
 
Huyu waziri anashusha hesabu kinyama, hakuna hesabu inayokatiza kwake, hao wanaojisifu wanajua hiyo lugha hata calculus hawawezi ndipo utatofautisha lugha na maarifa
Kwani Ange ongea lugha ADHIM ingekuwaje?
 
Mh rais samia hebu tengua uwaziri wa ndalichako anatia doa wizara ya elimu hivi vetting ya viongozi wa kitaifa huwa inaangalia vigezo vipi? Hivi ndalichako kama waziri anaenda shule kama za St marry pale mbeya ataongea nini kwa kimombo asishangaze wanafunzi? Mh rais uteuzi wako na mtangulizi wako kwa ndalichako unatia ukakasi. Ndalichako akiongea mbele ya shule za english medium watacheka mpaka wafe.
Kaisiliba kinyesi wizara ni heri angeongea tu Kiswahili lakini sio kwa broken zile na zile eeh.. Eeh, eeh zilizokaribia 60
 
Kama science yoyote inafuata logic, huwezi tenganisha grammar na logic. Tunawasilisha truth through language na bila grammar ni ngumu kuwasilisha ukweli. Mfano Ktk physics;

a) For every action there is an equal and opposite reaction.
b)For every action there was an equal and opposite reaction.
c) For every action there will never be an equal and opposite reaction.

Hizi sentensi hazinafanani kwa sababu ya grammar. Sasa wabongo watatetea eti sayansi hahihitaji lugha. Without good language (as a medium) truth can neither be learnt nor be commuicated.
👌👌👍
 
Mh rais samia hebu tengua uwaziri wa ndalichako anatia doa wizara ya elimu hivi vetting ya viongozi wa kitaifa huwa inaangalia vigezo vipi? Hivi ndalichako kama waziri anaenda shule kama za St marry pale mbeya ataongea nini kwa kimombo asishangaze wanafunzi? Mh rais uteuzi wako na mtangulizi wako kwa ndalichako unatia ukakasi. Ndalichako akiongea mbele ya shule za english medium watacheka mpaka wafe.
Ni aibu sana kwa nchi. Ndalichako anaidhalilisha nchi na wizara ya elimu. Anaudhalilisha hata huo uprofesa wake.Hovyooo kabisa.
 
Mh rais samia hebu tengua uwaziri wa ndalichako anatia doa wizara ya elimu hivi vetting ya viongozi wa kitaifa huwa inaangalia vigezo vipi? Hivi ndalichako kama waziri anaenda shule kama za St marry pale mbeya ataongea nini kwa kimombo asishangaze wanafunzi? Mh rais uteuzi wako na mtangulizi wako kwa ndalichako unatia ukakasi. Ndalichako akiongea mbele ya shule za english medium watacheka mpaka wafe.

Bora amhamishie ile wizara mpya ya jinsia na watoto
 
Back
Top Bottom