Rais Samia, kiingereza cha Waziri wa Elimu kinatia doa Wizara ya Elimu

Rais Samia, kiingereza cha Waziri wa Elimu kinatia doa Wizara ya Elimu

Huyu mother ni uvivu wake tu wakujifunza lugha. Alipaswa kujiongeza kwenda hata kwa Ras Simba akapige msasi wa ngeli wa fasta fasta ili kufuta aibu kwa taifa.

Kwa Tz kuongea kiingereza kwa ufasaha ndio kielelezo cha kuelimika.
Ndio ilivyo maana ndio lugha inayofundishiwa
 
Bro kaulize shule aliyosoma Waziri halafu linganisha na hiyo shule ya hao Kindergarten. Kiingereza ni kama lugha nyingine tu hata kama unajifunza darasani (ambayo kwa watu wengi ilikuwa ni sekondari kwa miaka minne). Lakini pia kuna watu wana vipaji vya kujifunza na kuongea lugha mbalimbali, wengine hawana. Hata kama wanafundishwa shuleni lakini wanashindwa. Kuwa na kiingereza kibaya, kusitufanye tumhukumu mtu kwamba hajui kitu.
Kama ulisoma kweli kwa elimu ya Tanzania 🇹🇿 alafu ukawa hukijui lazima tukutilie shaka ... hata wachina ambao hawajifunzii kingereza, hawachapi broken hiyo
 
Ona hapa Hayati Magufuli enzi za uhai wake nae alikua ni miongoni mwa PHd zilizokua mahututi mbele ya english....

Sikiliza utumbo huu:

"We have approximately thirty ferries and the one which is working is more than twenty nine..." hesabu hiyo umeielewa?

Angalia kuanzia dakika 1:20 link

Haa Haa
MZILANKENDE MNYAGO
 
Hawa ndio wanadhalilisha mtu Kuwa na Ph.D; kwasababu hawaendani na heshima ya kisomo cha kiwango hicho!!! Hii ndio hasara ya kusoma degree ya kwanza mpaka kutunukiwa Ph.D Chuo kimoja[ UDSM}!!!! Wengi wa namna hii wanapata taabu sana kwa kukosa exposure!!!
Hakuna uhusiano wowote hapo kingereza ni Lugha na PhD ni taaluma, sasa kuto kujua kingereza kuna athiri vip PhD yake? Pamoja na kwamba ni lugha aliyo itumia kusoma hig yo PhD lakini hakuwa anajifunza lugha eleweni hivyo.
 
We CHAWA,ludua kusoma tena andiko lako.
 
View attachment 2046608

Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?
Kiingereza ni tatizo la Taifa. Hata wewe unalo.

Hiyo sentensi yako inaonyesha.

Andika kiingereza utakaponijibu ujione usivyojua kiingereza.
 
Exactly! I love it when English is spoken with Italian, Spanish, Russian and Arabic accents..... lakini kinyooke grammatically.
Especially with arabic accent. It sounds more English than English...
 
Hii nchi tunashindwaga kabla ya kuanza. Profesa alosoma kwa kiingreza anashindwa kujieleza na anaudhi kumsikiliza... Anang'ang'ana na "gavamenti komitiment" mwanzo mwisho!!
Bora Makamba akae elimu,Muhongo arudi nishati Huyu maza ndali aende ustawi wa jamii,jinsia na watoto.
 
Acha kuropoka mkuu.

Elimu yetu kuanzia form one hadi huko PhD tunatumia lugha ya Kiingereza.
Sasa mtu anakuaje msomi kwa kusoma more than 20 years kwa lugha hiyo hiyo then ashindwe kuimaster?

Hapo ndiyo wajumbe wanasema alikuwa anakariri tu badala ya kujifunza.

Kwa Tanzania,ukisoma sana then ukawa na poor English.Usomi wako unatia shaka!
Kwanza unatakiwa ufahamu kuwa uelewa wa lugha ya kingereza upo kuanzia level A0 (beginner) hadi C2 (Proficient). Kwa wasomi wetu kulingana na mitaala yetu kuchanganya Kiswahili na kingereza wengi wapo Kati ya level B1 (upper intermediate) na C1 (Advanced) ni wachache sana wapo level C2 (proficient).

Watumishi wengi serikalini wenye elimu ya degree wapo kwenye level hizo lakini wanafanya kazi zao kwa ufanisi mzuri tu. So hiyo changamoto siyo ya Ndalichako peke yake.

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Hawa ndio wanadhalilisha mtu Kuwa na Ph.D; kwasababu hawaendani na heshima ya kisomo cha kiwango hicho!!! Hii ndio hasara ya kusoma degree ya kwanza mpaka kutunukiwa Ph.D Chuo kimoja[ UDSM}!!!! Wengi wa namna hii wanapata taabu sana kwa kukosa exposure!!!
Academic standard UDSM mashaka makubwa iwapo waziri ni zao la chuo.
 
View attachment 2046608

Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?
Kingereza chake ni matatizo yake binafsi, ufanisi wake kama upo makini ndilo la muhimu zaidi.

Akipewa maagizo anayafanyia kazi? Hayo ndiyo ya maana zaidi mengineyo ni uzi wa majungu usiomsaidia Rais anayemuajiri na usiowasaidia watanzania anaowafanyia kazi.
 
Ona hapa Hayati Magufuli enzi za uhai wake nae alikua ni miongoni mwa PHd zilizokua mahututi mbele ya english....

Sikiliza utumbo huu:

"We have approximately thirty ferries and the one which is working is more than twenty nine..." hesabu hiyo umeielewa?

Angalia kuanzia dakika 1:20 link

Huyu ni afadhali on the matter of sending message to Audiences
 
Acha ushamba elimu haipimwi na kuongea kiingereza vzr. Hiyo n lugha kama kichina. Msomi tunampima kwa uwezo wake wa kuchanganua Mambo, kuleta utatuzi chanya ktk jamii kwa kutumia elimu yake, sio lugha anayoongea.

amewezaji kuwa profesa kwa lugha ambayo haijui? huo uwezo utatoka wapi sasa kama lugha aliyofundishiwa haijui...
 
Back
Top Bottom