Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 4,062
- 5,741
Ndio ilivyo maana ndio lugha inayofundishiwaHuyu mother ni uvivu wake tu wakujifunza lugha. Alipaswa kujiongeza kwenda hata kwa Ras Simba akapige msasi wa ngeli wa fasta fasta ili kufuta aibu kwa taifa.
Kwa Tz kuongea kiingereza kwa ufasaha ndio kielelezo cha kuelimika.