Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,396
- 2,108
Acha kutetea uozo Magufuli ni afadhali kuliko huyuAnaongea English ila kwa lafudhi yake yeye kama yeye sio wale wanaowaiga Waingereza au Wamarekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kutetea uozo Magufuli ni afadhali kuliko huyuAnaongea English ila kwa lafudhi yake yeye kama yeye sio wale wanaowaiga Waingereza au Wamarekani
Hapana. Professor sarungi Mother tongue ya kijaluo but he is fluent in Queen's language.Huyu mother tongue imemuathiri hawezi kubadilika hata akakae USA bado hawezi kubadilika. Kama wasukuma wa mwanza wanaandika "Baba" ila wanasoma "Bhabha".
Hakuna uhusiano wowote hapo kingereza ni Lugha na PhD ni taaluma, sasa kuto kujua kingereza kuna athiri vip PhD yake? Pamoja na kwamba ni lugha aliyo itumia kusoma hig yo PhD lakini hakuwa anajifunza lugha eleweni hivyo.
Ndalichako kuwa Waziri wa elimu ni DHARAU kubwa kwa Watanzania. Kama wanamtaka wampatie kazi inayoendana na ubingwa wake wa hesabu. AIBU kubwaView attachment 2046608
Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?
Ona hapa Hayati Magufuli enzi za uhai wake nae alikua ni miongoni mwa PHd zilizokua mahututi mbele ya english....
Sikiliza utumbo huu:
"We have approximately thirty ferries and the one which is working is more than twenty nine..." hesabu hiyo umeielewa?
Angalia kuanzia dakika 1:20 link
View attachment 2046608
Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?
polokwane unaijuwa PhD wewe? Kwa mtu aliyesoma Primary School yenye English language kama somo la lazima, then O-Level somo la lazima plus language of instructions kwa masomo mengine yote. Halafu A-level, Bachelor, Master's to PhD language of instructions ni hiyo hiyo. Hakuna MSAMAHA wa kutojuwa kuandika na kuongea kiingereza.Hakuna uhusiano wowote hapo kingereza ni Lugha na PhD ni taaluma, sasa kuto kujua kingereza kuna athiri vip PhD yake? Pamoja na kwamba ni lugha aliyo itumia kusoma hig yo PhD lakini hakuwa anajifunza lugha eleweni hivyo.
Hayupo peke yake. Na ndo maana tunasisitiza matumizi ya Kiswahili. Lakini kwa kutokujua wang'ang'ania lugha ya malkia wa UingerezaKwa kweli mama lugha ya malkia ilimuacha mbali sana. Kwa hali hii ni vema akawa anafanya mahojiano ya kiswahili tu na hata akihojowa na mtu wa nje atafute mkalimani aweze kuelezea hoja zake!
Haumkumbuki MulugoView attachment 2046608
Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?
Watu wa hivyo wanakariri balaa...polokwane unaijuwa PhD wewe? Kwa mtu aliyesoma Primary School yenye English language kama somo la lazima, then O-Level somo la lazima plus language of instructions kwa masomo mengine yote. Halafu A-level, Bachelor, Master's to PhD language of instructions ni hiyo hiyo. Hakuna MSAMAHA wa kutojuwa kuandika na kuongea kiingereza.
Suala ni je Ndalichako alitetea vipi miswaada yake ya Mac na PhD?
Ni kweli lakini anaweza kuboresha grammar yake! Grammar ndiyo tatizo lake kuu sijui Baraza la maprofesa waliwezaje kumuelewa na kuelewa paper zake!
Nimecheka nusu ya kufa khaaa!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
PhD yake na fluency kwenye English havina uhusiano kabisa, huenda ikawa English kwake ilikua option tu kwa ajili ya Masomo
Acheni chuki, tatizo mliaminishwa ukijua kuongea kingereza ndio kuwa smart kichwani
Sema Prof akitoka hapo lazima akameze panadol[emoji1787]
Ofcoz Pipo yuz to dai ini ze ini ze ini zerek[emoji23]...
We lost alot of life thus why Bifoo i derivaring my spech we have to show appreciation to our hero...