Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2046608
Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?
Bonus 🤣🤣
Huyu mama angekutanishwa na Magufuli pamoja na Msukuma kwenye mdahalo alafu lugha ni kingeli,Lazima wangezalisha lugha mpya ya kiyunani 🤣 🤣 🤣Ofcoz Pipo yuz to dai ini ze ini ze ini zerek😂...
We lost alot of life thus why Bifoo i derivaring my spech we have to show appreciation to our hero...
Huyo mama PhD na MSc kasomea Canada kaisomea Alberta canada. Acha kudaharau watuHawa ndio wanadhalilisha mtu Kuwa na Ph.D; kwasababu hawaendani na heshima ya kisomo cha kiwango hicho!!! Hii ndio hasara ya kusoma degree ya kwanza mpaka kutunukiwa Ph.D Chuo kimoja[ UDSM}!!!! Wengi wa namna hii wanapata taabu sana kwa kukosa exposure!!!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Huyu mama angekutanishwa na Magufuli pamoja na Msukuma kwenye mdahalo alafu lugha ni kingeli,Lazima wangezalisha lugha mpya ya kiyunani [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Unayemzungumzia hakupatia Ph.D yake Tanzania. Ameipatia Chuo Kikuu cha Alberta, Canada. Kabla ya hapo alikuwa anafundisha UDSM.Kuna Nchi. So mi nazungumzia nchi au Nazungumzia Tanzani? Mkuu vipi?
Mi naongelea mazingira yetu apa Tanzania. Thesis sinilazima adefend infront of panelists?
sawa kapatia nje , kwani Canada alikuwa anawasiliana kwa ishara mpaka awe na English mbovu hivo anashindwa hata na mtoto wa English mediumUnayemzungumzia hakupatia Ph.D yake Tanzania. Ameipatia Chuo Kikuu cha Alberta, Canada. Kabla ya hapo alikuwa anafundisha UDSM.
Hapana, kwa wenzetu doctoral thesis huwa haitetewi mbele ya panel bali inatetewa mbele ya mtaalam wa fani husika anayeitwa opponent. Kabla ya mwanafunzi kuruhusiwa kuitetea, opponent anakuwa ameishaipitia kujiridhisha kuwa imefikia kiwango kinachotakiwa.
Opponent haangalii fluency katika matumizi ya lugha bali contents za thesis iliyombele yake na uthibitisho kuwa anayeitetea kweli ameiandika. Uthibitisho huu unatokana na anavyojibu maswali na uelewa wake wa kilichoandikwa. Lahfudh haihusikani katika hilo.
Amandla...
AhHuyu mother tongue imemuathiri hawezi kubadilika hata akakae USA bado hawezi kubadilika. Kama wasukuma wa mwanza wanaandika "Baba" ila wanasoma "Bhabha".
Ni sisi ndio tuna hang up kuhusu lahfudh katika uzungumzaji wa kiingereza. Wenzetu wanakuwa na wanafunzi kutoka nchi nyingi ambao uwezo wao wa kuiongea sio mkubwa. Wao wanaangalia madini yaliyomo kwenye thesis, sio mtu kazungumza kwa lahfudh ipi au broken kiasi gani.sawa kapatia nje , kwani Canada alikuwa anawasiliana kwa ishara mpaka awe na English mbovu hivo anashindwa hata na mtoto wa English medium
Hata mie nawaza hivyo, wanafanya makusudi tyuuh. Wala sio kwamba hawajui vema kimalkia.Hawa labda tu hawataki kujionesha, wako humble. Flow ya English yao si ya sayari hii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nimecheka mbavu sina, afu huyo dada pembeni anabetua mdomo kumkebehi waziri uwiiiiih.Duu kwa hiyo umeamua kumchongea kwa Mh. Rais?
Si yalikuwa majadiliano yetu tu sisi wanaJF..au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndalichako kingereza chake ni kama kingereza cha Umber Rutty.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2046608
Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?
Bonus [emoji1787][emoji1787]
Painful fact.Hawa ndio wanadhalilisha mtu Kuwa na Ph.D; kwasababu hawaendani na heshima ya kisomo cha kiwango hicho!!! Hii ndio hasara ya kusoma degree ya kwanza mpaka kutunukiwa Ph.D Chuo kimoja[ UDSM}!!!! Wengi wa namna hii wanapata taabu sana kwa kukosa exposure!!!
Mara mia Dr Msukuma kuliko huyu PhD yake ni ukakasi alipataje, ana pure broken English
Wahindi wako vizuri sana. Wao ni accent tu. Ni sawa umkute Mzimbabwe na accent yake ya kishona, Mnigeria au Msouth.... Lakini msuyai wanavunja. Huyu Mama lugha ni tatizo.... Na kwa level yake ya education ni aibu kwa nchi na education system yetu ukichukulia kwamba yeye ndiye Waziri wa elimu na ni Professor.India wanasifika kuhodhi one of the best professionalism duniani, especially kwenye medical field. But Inglishi yao sasa. Wabongo ila, ama wamebwia gongo huko Gongo-la-Mboto au nadhani wangali na matongotongo ubongoni hadi mgongoni.