Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Jipimieni!

Maanake wao waendelee kula vinono
 
Rais akiwahutubia Mwaziri na makatibu wakuu,, amasema anajua kila mtu anakula na atakula kwa urefu wa kamba yake lakini kwa sasa waanzidi hadi awanagombana. Je, hii si ndiyo maana ya Rais kuruhusu upigaji ila uwe wa kiistarabu?
Na watu wanapiga kweli kweli
 
Hapa tumeliwa kwa kweli
 
Kwa sasa hivi SSH ana- 'grapple' na 'government coordination'.. Wengi wa Mawaziri wake wanakosa ubunifu hivyo kufanya 'vision' za SSH kutekelezwa kwa mwendo wa kobe au ndivyo sivyo..
Hapa ndipo ilipotakiwa 'robust opposition' kuwaamsha..
Pia asisahau bado mawazo ya baadhi ya Mawaziri wake yapo katika uchaguzi mkuu wa 2025 hivyo bado atapambana nao sana..
 

Onyesha sehemu niliyo sema nafikiri ufisadi nikuiba pekeake.
Otherwise unalopoka tu kama mlevi.

Ikiwa unawaza kama kunamtu humu kwenye hili jukwaa hajui maana ya ufisadi basi wewe ni mtu wa kupuuzwa.
 
Onyesha sehemu niliyo sema nafikiri ufisafi nikuiba pekeake.
Otherwise unalopoka tu kama mlevi.

Ikiwa unawaza kama kunamtu humu kwenye hili jukwaa hajui maana ya ufisadi basi wewe ni mtu wa kupuuzwa.
Ulichoandika kimeandikwa wala huwezi tena kubadilisha maana yake.

Kitendo chako cha kudai kuwa "Hiyo pesa mtu anaweza kuiiba pekeake alafu isijulikane ilipo, aliiweka kwenye account gani ama ipo kwenye mabegi nyumbani kwake?" kinathibitisha bila kutia shaka kuwa ulikuwa unaamini kuwa ufisadi ni wizi peke yake, wakati 1.5 trilioni inaweza kupotea kupitia rushwa,kununua wapinzani,matumizi nje ya budget na kadhalika.

Wenye akili zetu tunajua kusoma na kuelewa vizuri.
 
Wewe mpumbavu tutajie hata watu watano waliouawa na Magufuli? Hivi unaunga mkono huu ujinga anaousema huyu bibi yako? You are very stupid!
Wewe ndiyo mpumbavu popoma. Pokea orodha hii
1.Ben Saanane
2. Azory Gwanda
3. Lwajabe
4. Diwani wa CDM Hananasif
5. Akwilina
6. Diwani wa Ifakara
7. Wananchi 300 wa MKIRU
8. Kutekwa kwa Roma Mkatoliki
9. Kutekwa kwa MoDewji
10. Kutekwa kwa Masoud Kipanya
11. Kushambuliwa kwa Zakaria Trans Tarime
12. Kushambuliwa kwa Tundu Lissu

Mungu ni wa ajabu, Tundu Lissu yuko hai lakini Magufuli amekuwa chakula cha minyoo huko Chato
 
Nimesikiliza mara kadhaa alichosema siamini nilichosikia! Ule ni uhamasishaji wa rushwa wa kutisha! Kwamba wale kidogo wasivimbiwe! Mbele ya National Television!

CCM haipiti miaka miwili mtapita magumu kiutawala ambayo hamjawahi kupitia toka chama hiki kianzishwe! Tunajua awamu zote kuna wizi/ufisadi ila si kwa kiongozi mkuu kutamka maneno ya namna hii. Shame!
 

Nilicho andika kimeeleweka jinsi kilivyo, we endelea kudhibitisha lamli zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…