abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Bora mafisadi kuliko yule Iblis and co.
Tuhamasishe wananchi wawakatae hata kabla ya uchaguzi?
Tuandamane?
Tugome na kufanya migomo ya nguvu?
" kila waziri anatakiwa ale kulingana na urefu wa kamba yake" Anonymous.