Msichana wa jana
Senior Member
- Aug 23, 2019
- 101
- 143
Kwa uelewa wangu mimi, mwenye mali akikwambia najua unaniibia ila usiniibie sana sidhani hata kama utapata tena huo ujasiri wa kuiba.. kila ukitaka kuiba utakuwa unawaza kuonekena hata ukipata huo ujasiri bado shida itakuja, hiyo hiyo kidogo ni ipiHakuna unafki, yeye Kama raisi alipaswa kukemea hiyo hali na kuchukua hatua.
Nchi zote tunazoona zimeendelea ni sababu ya kupinga na kuzuia rushwa au ufisadi serikalini.
Mfano. Watu wanakula rushwa Ila si unaona kila Mara takukuru wanakumbusha kuaa kutoa na kupokea rushwa ni kosa lla jinai.
SAMIA KABARIKI UFISADI.
MKALE LAKINI MSIVIMBIWE.
MAMA AFURUSHWE 2025. AKIKAA MIAKA 10 NCHI ITAOZA KABISA.
Ha ha ha ha ha ha nimecheka sana jiwe akiamka leo ataua mtuU-Kikwete na masafari yamerudi in full effect.
Pombe Magufuli is rolling in his grave.
Samia Suluhu is laughing at the headstone.
Au nasema uongo ndugu zanguuuuu in jiwes voiceSAMIA KABARIKI UFISADI.
MKALE LAKINI MSIVIMBIWE.
MAMA AFURUSHWE 2025. AKIKAA MIAKA 10 NCHI ITAOZA KABISA.
Na kama angekuwa na huo uthibitisho wa huo wizi, sidhani kama angeongea hivyo.. kwani we mgeni na wabongo?! Au ndo tumezoea kutishwa kwa nguvu?! Sometimes huitaji kutumia nguvu nyingi kudeal na baadhi ya vituHakuna unafki, yeye Kama raisi alipaswa kukemea hiyo hali na kuchukua hatua.
Nchi zote tunazoona zimeendelea ni sababu ya kupinga na kuzuia rushwa au ufisadi serikalini.
Mfano. Watu wanakula rushwa Ila si unaona kila Mara takukuru wanakumbusha kuaa kutoa na kupokea rushwa ni kosa lla jinai.
Naililia Mama Africa
Waziri na katibu mkuu wanagombania vitalu, wanagawana nchi huko.Waasibe sana... Wangate na kupuliza...
Wanaenda kula hadi kwenye wizara za wenzaoKuna mbuzi wengine hawajafungwa kamba kabisa.
Msubiri tu labda ataamkaha ha ha ha ha ha nimecheka sana jiwe akiamka leo ataua mtu
wanaenda kula hadi kwenye wizara za wenzao
What a coincidence yule aliye kaburini aliwaambia matrafic wachukue fedha za kubrush viatu! Huyu kha msizidishe na kuvimbiwa lakini! Rushwa ipo na ni halali!! JPM and SSHTatizo wabongo tumezoea unafki, mama kaongea kitu cha kweli, nani asiyekula katika nafasi aliyopo? Mtanzania yeyote hata kwa kazi ya ulinzi kuna namna ananufaika kwa nafasi ile tatizo mama kawakumbusha usije kunjinufaisha/ kunufaika kwa nafasi hiyo hadi unacompromise majukumu yako.
Huna adabu wewe, hao kina Museven wanafanya nini kwenye nchi zao zaidi ya dhulma na mabavuHuyu mama bure kabisa, sijawahi ona kiongozi wa nchi hopeless like her. Yaani hapa bongo kama nchi imelamba garasa!! wakina Kagame na Museveni wanatucheka balaa toka kupoteza kiongozi mwenye vision hadi kuja kuokoteza hili garasa,.tumeliwa.
What a coincidence yule aliye kaburini aliwaambia matrafic wachukue fedha za kubrush viatu! Huyu kha msizidishe na kuvimbiwa lakini! Rushwa ipo na ni halali!! JPM and SSH
Hawezi kumfikia marehemu
Wewe pumbavu chatu alianza kwa kuwa nyoka mdogo! Hakuna rushwa ndogo! Hivi huyu unayemwambia asivimbiwwe unalinganisha ni nini! na yule mduanzi alikuwa na maana ya kubrush viatu tu! Think and use what is in what you call skull otherwise it is just shit!!!You are sick in your head…
Unalinganisha tip unazonegotiate barabarani na traffic vs matrillioni ya pesa za walipa kodi…
JPM alikuwa anaamini ili nchi ilendelee lazima watu wake wote wageuzwe kuwa machinga. Hiyo ndo vission hiyo?Ya kutalii duniani kupata frequent flier miles.
Watanzania bhana!Waache wakati wamehamasishwa na Rais kuwa wajipimie?View attachment 2080155Ingekuwa ni Taifa lingine hadi muda huu huyu Rais asingekuwa madarakani lakini kwa jinsi ulivyojibu hapo juu kuna uwezekano hadi wananchi wakaliwa na bado Rais akaendelea kudunda.
Wewe unafaidika na nini kwa kumchukia na kumpinga Samia?Hv unafaidika nini kumtetea mama
Wewe pumbavu chatu alianza kwa kuwa nyoka mdogo! Hakuna rushwa ndogo! Hivi huyu unayemwambia asivimbiwwe unalinganisha ni nini! na yule mduanzi alikuwa na maana ya kubrush viatu tu! Think and use what is in what you call skull otherwise it is just shit!!!