Msichana wa jana
Senior Member
- Aug 23, 2019
- 101
- 143
Kwa uelewa wangu mimi, mwenye mali akikwambia najua unaniibia ila usiniibie sana sidhani hata kama utapata tena huo ujasiri wa kuiba.. kila ukitaka kuiba utakuwa unawaza kuonekena hata ukipata huo ujasiri bado shida itakuja, hiyo hiyo kidogo ni ipiHakuna unafki, yeye Kama raisi alipaswa kukemea hiyo hali na kuchukua hatua.
Nchi zote tunazoona zimeendelea ni sababu ya kupinga na kuzuia rushwa au ufisadi serikalini.
Mfano. Watu wanakula rushwa Ila si unaona kila Mara takukuru wanakumbusha kuaa kutoa na kupokea rushwa ni kosa lla jinai.