Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Jipimieni!

Ufisadi umehalalishwa
True. Yaani hapa Maza kahalalisja ulaji tena mchana kweupe. This is not right na inabidi tjipigie kelele.

No wonder Watoto wao wanarudishwa kwa kasi ili waje wale kutokana na urefu wa kwamba zao.

Issue hapa, ni akina nani wenye kwamba ndefu....!!
 
Huyu siyo wa kumwendea kwa staha na upole. Huyu ni kuruka nae mpera mpera. Tusipofanya hivyo nchi itapigwa mnada mchana kweupe
Hapana kiumri huyu ni Mzazi kama walivyo wazazi wetu nyumbani, ni kweli masuala ya Nchi ni mapana sana yanahitaji uimara katika kuongoza.

Ndio maana ya kushiriki kwa pamoja kumsaidia ama kwa ushauri au vyovyote vile ili Taasisi ya Urais ipate kutekeleza majukumu yake.

Na huu ndio uwe/ utakuwa mchango mkubwa wa mitandao ya kijamii.

Ni vizuri kutofautiana mitizamo, lakini dhumuni kuu liwe ni "Tanzania Kwanza"
 
Huyu ni miongoni mwa marais wa hovyo hovyo kabisa DUNIANI. HOVYO KABISA
 
Tuache kuwapa wazee madaraka kwa miaka ambayo wamekaa madarakan tumeona walivyotupiga wakiwa madarakani wanafanya Apo Ni sehm ya kula pension na sio manufaa ya wananchi vijana ndo tunajua hustle zilivyo uku kitaa
 
JK ndiye aliyekuwa mbabaishaji wa kutupwa. Kwa vile hakukemea watu, labda ndiyo maana wanamkumbuka hasa wale waliokuwa na vyeti feki, na wale waliokuwa wamajiri watumishi hewa..
Hakuna ambaye alikuwa na cheti feki ilikuwa mbinu ya jpm kupunguza wafanyakazi tu
 
Mkuu wa nchi anatamka bila hata kusita na kumug'unya maneno kuwa kila waziri au kiongozi awe anakula kadli ya urefu wa kamba yake. Bila aibu anasisitiza kuwa wasiibe au kula rushwa kama walio kula mchongo na rushwa ya ujenzi wa meli na kula rushwa ya dola mil kila meli.

Huku ni kukiuka katiba ya JMT ambayo inataka viongozi wawe waadilifu na wasikiuke sheria ya maadili ya viongozi wa umma ambayo inataka kiongozi asichukue rushwa au kuhimiza kuchhukua rushwa.

Ibara ya 46A ya katiba ya JMT ipo wazi na rais Samia aondoshwe madarakani na bunge la JMT.
 
Ndo ukwwli Wacha tule tu
 
Reactions: CK
We utakua shabiki wa utopolo! Hutaki hata kutupa nafasi ya kusherekea ubingwa wetu!
 
Unapoteza muda kujibu nyumbu kama huyo. Ni bora ungelala, dude linalofikiri 1.5 tilioni za kitanzania ni kama elfu 50 rahisi kuiba na kuficha basi lazima niwe na mashaka na akili yake.
 
Labda kama job asingekimbia u subwofer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…