Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Jipimieni!

Bunge lipi? Hili lililogeuka kama idara ya kumwagilia maua ikulu?
 
Tuhamasishe wananchi wawakatae hata kabla ya uchaguzi?

Tuandamane?

Tugome na kufanya migomo ya nguvu?

" kila waziri anatakiwa ale kulingana na urefu wa kamba yake" Anonymous.
Msemo kuwa mbizi hula kulingana na urefu wa kamba yake una maana ukoshafumgwa kamba hutaweza kula ambacho kamba haikufikishi bali utazunguka palepale.

Usemi huu hauwezi kuhamishwa kwa mawaziri la utaleta tafsiri tofaiti lakini mbona kasema kuna kuzidisha, ina maana mbuzi anakosa akila majani yote ndani ya kamba.

Tungeacha tu yafsiri kwani msemo haukulenga sehemu sahihi
 
Wakivimbiwa wajitahidi wapate vidonge vya magnesium ili wapunguze Ile hewa tumboni.
 
Urefu wa kamba ni kila mtu afanye kazi inayomhusu.......majukumu ya kazi YAMEBAINISHWA KIFASAHA....

Tuache upotoshaji koko.....

#Siempre JMT🙏
Yaani anajua tunapigwa na wasaidizi wake halafu anaishia kulalamika tu.
 
Ni kauli za kijanga sana na sijawahi kufikiri upumbafu kama huu??? Kwa hiyo amehararisha watu wapige wanavyotaka? Bogus kabisa
KAULI ILIYOTOLEWA LEO HAIFAI KUTOLEWA NA KIONGOZ WA NGAZ YOYOTE. NI AIBU KUBWA SANA KUHALARISHA UPIGAJI. NIMESITUKA MNO ZAIDI YA SANA. MAMBO GANI HAYA JAMANI. Labda ndo siri za nchi watu wanaahidi kutunz
 
Wacha waibe
 
Watu bado wapo kwenye denial ni muhimu tukamuheshimu Mama
 
KAULI ILIYOTOLEWA LEO HAIFAI KUTOLEWA NA KIONGOZ WA NGAZ YOYOTE. NI AIBU KUBWA SANA KUHALARISHA UPIGAJI. NIMESITUKA MNO ZAIDI YA SANA. MAMBO GANI HAYA JAMANI. Labda ndo siri za nchi watu wanaahidi kutunz
Utaupasua moyo wako bure.....

Nchi haijaanza awamu ya 5.....

#Siempre JMT🙏
 
Ndugu yangu. Hii ni nchi "primitive" ya Tanzania. Hii kauli hata kukemewa tu, hakuna wa kuikemea. Usishangae kesho ukawasikia zombies wa UVCCM wakimpongeza kwa kukemea rushwa na ufisadi.

Mwenyewe kasema kama humpendi ukatafute nchi yako ukaishi.
 
Hakuna aliyewahi tumbuliwa eti Kisa kala,kama unayo tuwekee hapa.
wapo !

mimi kuna ndugu yangu mmoja alitumia cheti changu cha form 4 kupatia ajira wakati mimi nina digrii na wala sikihitaji tena. Akafumuliwa kuwa kuwa kama alipata division 1 form 4 kwa point 4 ni kwa nini hakwenda form 5, akawa hana jibu.

 
Wapotoshaji kazini.....

Mh.SSH ameongelea kuhusu kutoingiliana katika utendaji kazi wa MAWAZIRI na MANAIBU WAO....

Tatizo labda kiswahili cha pwani hakieleweki vyema......🤣🤣

Ameongelea kuhusu MUHALI....

#Mchukieni Ila Ndio Rais
#Mchukieni Ila Muipende Nchi Yenu
#Mchukieni Ila Yeye Yupo Sana aaamin🙏
 
Mbona lugha aliyotumiia ipo wazi?
 
Tumpe Gwajima au Dr Msukuma uspika, hao ndo wanafanana na yule msukuma aliyepigwa na Mungu, hapo ndo roho yako itasuuzika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…