Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Jipimieni!

Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Jipimieni!

Urefu wa kamba ni kila mtu afanye kazi inayomhusu.......majukumu ya kazi YAMEBAINISHWA KIFASAHA....

Tuache upotoshaji koko.....

#Siempre JMT🙏
Na Hii ya kula mpaka kuvimbiwa ilimaanisha nini ? Embu tusaidie tafsiri
 
Upotoshaji KAZI KWELIKWELI......

Mama ameongea mengi akitaja MUHALI.....

Ile hali ya kutoambiana ukweli kwa KUOGOPANA NA KUHOFIANA kutoudhiana.......

Amefuatilizia na kukanyana kuhusu ile tabia ya BAADHI YA MAWAZIRI/NAIBU MAWAZIRI kwenda "kuchomeana" kwake.....hapa ndipo KILA MTU ALE UREFU WA KAMBA YAKE na si vingi nevyo......

#Siempre JMT[emoji120]
Unaona ni sahihi kusema hayo?

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Dah! Kumbe upigaji hauwezi kukoma hata kidogo kwa nchi yetu! Yaani hapa mama anajua upigaji upo lakini kwa sauti yake ya upole anataka usipite kiasi.
 
Upotoshaji KAZI KWELIKWELI......

Mama ameongea mengi akitaja MUHALI.....

Ile hali ya kutoambiana ukweli kwa KUOGOPANA NA KUHOFIANA kutoudhiana.......

Amefuatilizia na kukanyana kuhusu ile tabia ya BAADHI YA MAWAZIRI/NAIBU MAWAZIRI kwenda "kuchomeana" kwake.....hapa ndipo KILA MTU ALE UREFU WA KAMBA YAKE na si vingi nevyo......

#Siempre JMT[emoji120]
Jumbe Brown mwenye funguo ya kufuli la samia wateeee hawajaelewa ila ww tu ndio umeelewa asante
 
Ukipewa ridhiki mahala ridhika na ulichopewa, ukiiba vingine/kuondoka navyo /kuvimbiwa huko si sawa.

Dhambi ya kushiba hadi kuvimbewa /kubweteka na madaraka uliyopewa kama zawadi haifai kwa kiongozi.

👆Tafsiri /maoni yangu kutokana na kauli ya Mh. Rais

Ndio maana Mh. Makamu wa Rais akasisitiza juu ya wateule kuwa na hofu ya Mungu na kuwa msaada kwa wengine ambao hawakujaliwa kuwa kama wao.
 
Magufuli hakusema watu wale kwa Kamba yao lakini bado tuliona Mawaziri wake wakila hadi wakavimbiwa na yeye mwenyewe kaindoka na Tsh 1.5 Trillion. Msijifanye hamjui kwamba Magufuli alikuwa mwizi

Aisee ivi unaijua 1.5 trillion???
Hiyo pesa mtuanaweza kuiiba pekeake alafu isijulikane ilipo, aliiweka kwenye account gani ama ipo kwenye mabegi nyimbani kwake?.
Angeiba hiyopesa kwajinsi mafisadi wanavyo mchukia saizi kila ushahidi ungewekwa wazi dunia nzima ione.

Acheni kulopoka lopoka.
 
Huyu mama bure kabisa, sijawahi ona kiongozi wa nchi hopeless like her. Yaani hapa bongo kama nchi imelamba garasa!! wakina Kagame na Museveni wanatucheka balaa toka kupoteza kiongozi mwenye vision hadi kuja kuokoteza hili garasa,.tumeliwa.
Lawama zotee ccm
 
Alienyoroshwa ni wewe mtetezi wa Samia pamoja na Samia mwenyewe ambae amehamasisha ufisadi katika serikali yake huku akifikiri kuwa hayupo live kumbe yupo live TBC Taifa🤡🤡🤡
Ww umesahau tumenyukana sana enzi za magu....
huyu maza sijamkibali
 
Aisee ivi unaijua 1.5 trillion???
Hiyo pesa mtuanaweza kuiiba pekeake alafu isijulikane ilipo, aliiweka kwenye account gani ama ipo kwenye mabegi nyimbani kwake?.
Angeiba hiyopesa kwajinsi mafisadi wanavyo mchukia saizi kila ushahidi ungewekwa wazi dunia nzima ione.

Acheni kulopoka lopoka.
Pumbavu mkubwa wewe Liwagu unaniita Mimi mropokaji?? Kwani hukusoma ripoti ya CAG Prof Assad ya 2016/17? Ni lini tulipewa jibu juu ya hoja ya ukaguzi hiyo?
 
Upotoshaji KAZI KWELIKWELI......

Mama ameongea mengi akitaja MUHALI.....

Ile hali ya kutoambiana ukweli kwa KUOGOPANA NA KUHOFIANA kutoudhiana.......

Amefuatilizia na kukanyana kuhusu ile tabia ya BAADHI YA MAWAZIRI/NAIBU MAWAZIRI kwenda "kuchomeana" kwake.....hapa ndipo KILA MTU ALE UREFU WA KAMBA YAKE na si vingi nevyo......

#Siempre JMT[emoji120]
Hadsome Boy CBE unajitahidi sana
 
Aisee ivi unaijua 1.5 trillion???
Hiyo pesa mtuanaweza kuiiba pekeake alafu isijulikane ilipo, aliiweka kwenye account gani ama ipo kwenye mabegi nyimbani kwake?.
Angeiba hiyopesa kwajinsi mafisadi wanavyo mchukia saizi kila ushahidi ungewekwa wazi dunia nzima ione.

Acheni kulopoka lopoka.
Unaelewa maana ya ufisadi? Nani kakwambia kuwa ufisadi ni kuiba?
 
Back
Top Bottom