Rais Samia: Kuna mtu kakopa benki zetu 5 katoweka

Eti mtu.huu ndi ujinga umelitafuna hili taifa kwa miaka mingi.

Hazizungumziwi taasisii, watu wanataka mtuuu.ujinga.
 
Tueendelee kusubili huku kibubu chetu kinaendelea kuisha,wezi hawana huruma lkn Tete kaamua kuwaonea huruma ngoja ieendelee kunyesha.
 
Sina wazo tofauti na ya wale waloongeza cha juu kwenye manunuzi ya ndege. Hatua ni zilezile zifwatwe. Na hiyo mikopaji ikamatwe irudishe pesa. Hawezi kukimbia asionekane. Tumia polisi ya kimataifa na taifisha mali zote zilizobaki.
 
Hiyo si kweli mama amesinzia mno. Mwamba alikuwa halali si kwa kutaka sifa bali ku detect huu upuuzi wa majizi. Sasa yeye anasubiri tuuuu kazi kucheza mdako
Magufuli alikuwa anakesha na mafaili hadi chumbani hakuna wanafiki na wachomokea dili fisadi kama wafanyakazi wa umma wakikusoma kuwa huna muda wa kupitia mafaili

wakimjua Raisi kuwa lazier faire watampiga dili atasaini mi dili ya wenzi serikalini hadi akome mwisho wa zigo linamwangua yeye

Kikwete alikuwa lazier faire hajali
.alipigwa na vitu vizito kibao vya kifisadi hadi na waziri mkuu wake Lowasa zikiwemo Dowans,IPTL nk kuamuka anakumbuka shuka kumekucha kashifa zote zinamlenga yeye kuwa yeye Kikwete mwizi na CCM yake

CCM manusura ianguke kama KANU Kenya kutokea Magufuli ndio aliokoa jahazi

Samia ajue watendaji serikalini wanamsoma wanamlia timing tu ya kumwiibia asione wanajitia kuimba wimbo ohh Magufuli alikuwa mbaya ndio nyimbo zao hizo za kuzuga Raisi mpya awape nafasi waited

Kikwete alipooondoka madarakani nyimbo zilihamia kwa Magufuli kuwa wewe uko vizuri kuliko Kikwete,Kikwete alikuwa mwizi mkubwa na maswahiva wake
i
RAISI Samia awe makini na waimba kwaya wa kuponda viongozi waliopita na kumpamba maua kuwa yeye bora laweza kuwa anguko lake kisiasa mbeleni ni ma mafia wa kisiasa

Wanampamba ili awaamini wamwibie tena mno

Asicheke na ngedere atakuja kukuta ngedere wamekula shamba lote

Asione Magufuli alikuwa mjinga kuwa mkali vile hasa kwa Public Servants

Walau katumia neno Stupid kwa hasira kuwa kaanza kuelewa Public servants wanamchezea

Serikalini ukicheka na Public servants jiandae kulia
 
Ccm ni ileile mkuu, mahakama ni chombo huru hakipaswi kuingilia, sijawahi ona serikaki imemshitaki fisadi au mwizi w mali za umma, mpaka sasa kuna kesi ngapi za mafisadi? Wapo mtaani wanatamba tu
 
Madudu hayaishi we unadhani ni kitu kitu gani kilimfanya jpm afoke kila siku hadi afya yake ikatetereka!! Msimsingizie mama wtz ni wezi mno tena mno
Ni kweli hayawezi kuisha ila wananchi tunataka kuona wizi mkubwa unaisha na ubaki wizi mdogo mdogo chini uko Halmashauri.
 
Ww naona unaminyoo kichwani hasa kwwenye sustial nigra of basalgangalia menmbrane CAG huyo huyo aliyetumbuliwa ni mara ngapi amekuwa akilitolea maelezo kuwa hakukuwa na pesa iliyoibiwa khaa au unaakaa nje ya nchi ni boya
 
Huyu Raisi alisema hawezi kupola Watu pesa zao kama utawala wa Simba wa Yuda, sasa kama yeye mtenda haki mbona wananchi tunapolwa pesa zetu hataki kuturudishia kama alivyo warudishia matajiri aliyosema waliporwa pesa zao na Magufuli?
 
Ndio maana nakuambia ww unaminyoo kichwa au upo nje ya nchi aliyekuambia 1.5 t ziliibwa ni nani au unakichaa cha mimba unakuja na vitu vya kufikiriak muulize hasadi kama kuna hata 1m liyoibiwa achilia mbali hiyo 1.5t
 
Huyu ndio Rais, naye anaongea kama anapigwa stori .

Tumeingizwa chooo Cha kike na Katiba.
 
Kuna sehemu nilimsikia Rais wetu akisema mnaiba fedha zote hizo za nini? Hamtosheki?
Harafu kasema : Kama mmeshindwa kuwatoa hao wabadhirifu wa fedha za umma basi wahamisheni vituo vyao vya kazi muwapeleke kule kwenye sehemu za mapato madogo!
Atoke tu madarakani rais hawezi kuwezi kuwa na kauli kama hiyo aisee hiyo ni fedheha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…