Rais Samia: Kuna mtu kakopa benki zetu 5 katoweka

Unamzungumzia raisi yupi kiongozi kama saa 100 hiyo ni kama myth consipirscy theory .hatuna raisi pale tumepigww na kitu kizito kichwani
 
Ccm ni ileile mkuu, mahakama ni chombo huru hakipaswi kuingilia, sijawahi ona serikaki imemshitaki fisadi au mwizi w mali za umma, mpaka sasa kuna kesi ngapi za mafisadi? Wapo mtaani wanatamba tu
Sasa yule mkwe wake Lowasa,Rugemalira na yule Muhindi walifanywa nini?

CCM ni ile ile na ina matawi yake kama haya.

 
Subira mpaka lini? hatua zichukuliwe kuondoa ndama wanaonyonya bila kushiba hao. Hatuna haja na subira.
 
Ndio maana nakuambia ww unaminyoo kichwa au upo nje ya nchi aliyekuambia 1.5 t ziliibwa ni nani au unakichaa cha mimba unakuja na vitu vya kufikiriak muulize hasadi kama kuna hata 1m liyoibiwa achilia mbali hiyo 1.5t
Ukitaka kujibu hoja za mtu mzima upaswa ujitawaze kwanza hoja yangu ya msingi ni kuweka mazingira ya uwazi kwa serikali kuikubali kuwajibika baada ya kupokea ripoti ya CAG. Kifungu cha 28 cha sheria ya ukaguzi wa umma na 11.ya mwaka 2008 ndicho kinachompa mamlaka CAG kufanya yake. 1.5tr hazikujulikana zilipo licha ya polepole kuja na hesabu zake zisizoleweka. Unachopaswa kujua haya mambo hayataki double standard inapoonekana kuna leakage ya mapato yetu tuwe na maoni ya pamoja sio kutoka mapovu.
 
Ww naona unaminyoo kichwani hasa kwwenye sustial nigra of basalgangalia menmbrane CAG huyo huyo aliyetumbuliwa ni mara ngapi amekuwa akilitolea maelezo kuwa hakukuwa na pesa iliyoibiwa khaa au unaakaa nje ya nchi ni boya
Wewe huna akili unafikili sijui kuwa report inapopelekwa bungeni kujadiliwa ndio hubainishwa kama Kuna wizi au lah pale vyombo husika kama takukuru na kamati za Bunge kufanya uchunguzi wao. Point ni kwamba kwanini report haikwenda bungeni, na kwanini CAG kukejeliwa kwamba alijifanya muhimili na wakati kananu za kimataifa zimebainisha kuwa ukaguzi wa umma ni tathimini huru. Rais hapaswi kujifanya Malaika wewe kenge elewa hata huyu wa sasa kama wananchi tunapaswa kufuatilia ni hatua zipi Zitachukuliwa kwa wahusika baada ya uchunguzi.
 
Zikapelekwa CHINA...
 
Ila Kwa Kwa kweli Mh. Rais kwenye hotuba yake alikerwa wazi wazi. Walioko chini yake kuanzia Makamu wake na Waziri Mkuu wasisubiri mpaka awatume wanatakiwa wachukue hatua fasta.

Yaani mpaka Leo Takukuru walitakiwa wawe wameshakamata watu na wanaotakiwa kutumbuliwa watumbuliwe fasta.

Nakumbuka Kuna Rais mmoja kule Togo aliwahi kusema kuwa kuwa Kuna mtu Fulani ni Msaliti wa nchi na kule Jeshini wakati wa vita wanajua anachotakiwa kufanywa Msaliti.
Kesho yake TU yule mtu alipigwa risasi za kutosha na kuaga nchi Kwa majeraha makubwa.
Sasa Rais wetu Jana alionyesha kukerwa sana na ufisadi jambo ambalo walioko chini yake walitakiwa wakitoka pale watoke na hasira Ile Ile ya Mheshimiwa Rais na kuwatia ndani wahusika wote wa ubadhirifu huo mkubwa sana kuwahi kutokea .
 
Magufuli alikuwa anatumia njia zinazoleta matokeo ya haraka. Ndio maana wengi hawakumpenda sababu ukifata njia ndefu hufikii lengo maana chenga zinakuwa nyingi. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ It worked on his favour na ndio maana wengi wamejawa mimba za chuki to date.

Mtu kaiba ila anataka abembelezwe na mahakama we, ahonge honge hela jalada lisiandikwe au kesi ipigwe dana dana mwishowe inazimwa kijanja
 
Raisi wa sasa anachofanya ni kipi hasa cha maana zaidi ya kukopa hovyo bila kusimamia uwajibikaji na matumizi.

Kukumbatia ufisadi ni udhaifu mkubwa ambao unachefua watu wote wenye akili. Huduma za kijamii hovyo, matozo lukuki, maisha hayaeleweki watu wanaburuzwa buruzwa tu kama wakimbizi yeye kakumbatia wezi na wafanyabiashara wanyonyaji wakwepa kodi. Aisee usitake nikuongeze tusi.

Hio ripoti ambayo imesomwa ikaonesha watu wameiba mabilioni bila kuchukuliwa hatua inanisaidia nini mimi katika haya maisha?
 
Mi kwa mara ya 1 sijivunii raisi wetu na sijivuniii kuwa mtanzania kwakweli 🀒🀒🀒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…