Rais Samia: Kuna mtu kakopa benki zetu 5 katoweka

Hakuna serious investor Huwa anakuja afrika.

Ni matapeli tu kama hao.

Tunaposema tunafungua nchi na kuruhusu kila mtu aingie madhara yake ndio kama haya wanaingia mpaka.wasiopaswa kuingia.

Muda si mrefu tutajuta kwa kutokuwa makini kulinda rasilimali zetu.
 
Dah hii hatari SANA
 
Mtaje bawan kwani nanini anajua jina lako
 
Sasa wanaolalamika na wewe ni wale wale tu kama kumtaja tu HUWEZI.

Watz wote baba na mama yetu mmoja kwenye wizi na kulindana.
 
Wakimpesha mtu 5m walikua wanachukua nyumba na kupiga mnada harafu BOT ipo inaona transaction karibu Bank tano wao kazi yao nini na hao TRA mtandao wa huo wizi ni mkubwa sana...
 
Wakimpesha mtu 5m walikua wanachukua nyumba na kupiga mnada harafu BOT ipo inaona transaction karibu Bank tano wao kazi yao nini na hao TRA mtandao wa huo wizi ni mkubwa sana...
Hawa Wanatia Kinyaa Sana Yote Yanafanyika Wapo Kimya
 
Anawezaje kukopa benki 5 wakati upo mfumo wa kudhibiti haya? Nini maana ya uwepo wa credit reference bureau?na kama mabenki yamekiuka utaratibu wa ukopeshaji bila kupitia credit reference bureau benki kuu imechukua hatua gani kuadhibu haya mabenki?
 
Hawa Wanatia Kinyaa Sana Yote Yanafanyika Wapo Kimya
Ukiweka vijisent vyako utasikia subiri taarifa ya TRA kwanza watu wanahamisha hela nyingi bila taasisi zetu kujua inaumiza sana mimi huwa sielewi BOT wanafanya nini au hawana sheria inayoweza kuwapa hayo madaraka zipo Nchi huwezi kuwekewa kiasi kikubwa kwenye akaunti yako harafu zisionekane zimefanya nini lazima utaitwa ukatoe maelekezo hata kama ulitoa bidhaa nje utaonyesha makaratasi sio Tanzania wageni wanapeta mno kuliko wenyeji...
 
Upuuzi Mwingi Sana Sana
Million 1 Tu Kuichukua Saini Tele
Hawa Wametowa Vitu Fake Wanaondoka Na Cash Hii Tanzania Wasomi Wanatia Aibu
Vyombo Navyo Vichafu Sana Vipo Baridi Siyo Vichachu Kama Wakati Wa Mzilankende
 
Alikuwa anachukua hatua
 
Katika wizara na taasisi za serikali kuna watumishi waadilifu kibao wenye utumishi wa muda mrefu elimu nzuri uzoefu na uadilifu ila zinapotokea nafasi za uongozi kuanzia za chini kabisa hadi za juu huwa hawafikiriwi kabisa kupewa nafasi hizo. Sababu wanaogopwa kwa misimamo yao ya kupinga wizi na ubadhirifu ndani ya taasisi wanazofanyia kazi hivyo hawapendekezwi. Serikali ianzishe kanzidata ya watumishi waaminiffu na wanaoonyesha uzalendo tangu wakiwa maafisa wa kawaida na itumie kanzidata hiyo kujaza nafasi mbalimbali za uteuzi pindi inapotokea ziko wazi. Kuwajua watumishi hao ni rahisi sana, serikali itumie upelelezi wa chinichini kuwabaini bila wao wenyewa kujua kwani mifumo rasmi sehemu zao za kazi huwa haiwataki rasmi.

Ufisadi huwa unaanza kujengwa pale nafasi ya uongozi kuanzia ya chini inapokuwa wazi kwa kuhakikisha yule anayeonekana tishio kwa mfumo wa wizi kutopendekezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…