Rais Samia: Kuna mtu kakopa benki zetu 5 katoweka

Rais Samia: Kuna mtu kakopa benki zetu 5 katoweka

Acha porojo ww ni mtu mzima aisee mbona mnakuwaga kama mazombe kama unachuki zako binafsi na mwendazaek nenda kalichape kaburi
Eh! Shida ndo kama hizi, huamini kuwa 1.5 trilioni ilipigwa wakati ule kwa sababu ulimpenda aliyekuwepo ndivyo pia tupo tusioamini kuwa hata haya ni kosa la aliyepo sasa. Kwa namna hii hatuwezi kuendelea maana tunaongozwa na hisia zaidi kuliko tafiti au chunguzi. CAG alisema HAZIONEKANI....hakitaja kuwa zimeibwa lakini rais akauliza wazi eti unasema zimeibwa? Ulitaka nini kitokee kama sio wapambe wake kutumia mashaka yake kumsukuma aone kuwa CAG ni muongo? Ukweli ni kwamba toka Nyerere mpaka Samia upigaji upo na utaendelea tu kama mifumo yetu itabakia hivihivi ilivyo.
 
Sio chuki Rais aliepita alifoka tu hata ukitukana huwezi kubadilisha ukwel, zombie ni wewe ambae unamuhusudu mtu kuliko hata taifa lenyewe, ATCl ilipotoa gawio wote si tuliona mwisho wa siku CAG akaripoti hasara, 1.5 tri ziliposhindwa kuonekana mwisho wa siku akatumbuliwa prof Assad kuhoji kwannn Bunge limekuwa bubu, acha utoto unapojibu watu wazima.
Hii unaonyesha ni mjamzito pole kama unafuatilia riport bungeni mbona imeshaajibiwa. Mbona huyo CAG aliyetumbuliwa pia alikiri hamna hata sh moja iliyoibiwa au ww unasisconnetion kati ya ubonge na mdomo
 
hao ndo aliokuwa anadili nao JPM halafu watu humu wanamtukana eti alikuwa anawaonea watu.wapi bwana uchafu uko mwingi ndani ya nchi hii.wote aliokuwa anadili nao walikuwa wezi.sasa mtu anakopa mabilioni ya pesa ktk mabenki matano anaweka dhamana feki halafu anazipeleka nje huyo si wa kupotezwa tu!ni mzalendo huyu kweli?
 
Hio Trillion moja mnayoona nyingi zile alizopiga Lameki kwenye miradi badala ya trillion 4 akalipa 6, jumlisha na mabillion wanayopiga Makamba na wenzake haya hizo za CAG alizosema TRC wamepiga 500B na za Manunuzi ya Cargo Airline 115B hebu acheni mambo ya kikuma aisee.

Hio trillion 1.5 ni ya chuki wala haina ushahidi ila mmeishikia bango. Hakuna awamu itavunja rekodi ya ufisadi kama hii hapa. Hata kikwete hawezi ingia yani
Hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu ukiwa kama una akili timamu huwezi kusema 1.5tr haikuwa na ushahidi wakati imetajwa mara kadhaa na CAG na Rais aliepita kujifanya anapiga mikwara mbuzi, hapa hakuna double standard wajinga wachache kama wewe wanataka kumuangushia jumba bovu Rais wa sasa ambae amekubali mapungufu na uwazi kwenye utoaji wa ripoti. Kitu cha aibu siku anaapishwa kichere anachimbwa mkwara kuwa nenda kajifanye muhimili. Acha utoto umeshakua
 
hao ndo aliokuwa anadili nao JPM halafu watu humu wanamtukana eti alikuwa anawaonea watu.wapi bwana uchafu uko mwingi ndani ya nchi hii.wote aliokuwa anadili nao walikuwa wezi.sasa mtu anakopa mabilioni ya pesa ktk mabenki matano anaweka dhamana feki halafu anazipeleka nje huyo si wa kupotezwa tu!ni mzalendo huyu kweli?
 
Ewe lijinga na wajinga. Tena na hao wajinga wenzako nimeona kuna ma group kabisa ya wasomi eti wanasema eti mara Dkt Magufuli etc. Tulieni tuwaambie iko hivi. Prof. Asad alitumika na mabeberu na kundi la watu wabaya wale mafisadi ili kujaribu kutafuta makosa. Hiyo 1.5 trillion ilikuwa na maelekezo na yalitolewa na yeye akakomaa yaani ni sawa na budget ya CIA uende ukajifanye mara ohhh waliomtumbua ni hao hao walinzi wa taifa na ndiyo maana he will never amount to anything kwa hii nchi kwa sababu prof Asad ni mtu aliyeelimika ila hana common sense, na binaadamu ukikosa common sense hata uwe prof utaendelea kuwa mjinga.
Consipiracy theories kama hizi kuongee na wajinga wenzako huku kwenu au mwambie bibi yako. Serikali sio mali ya mtu bali ipo kwa ajiri ya watu na kwa kuzingatia utawala bora ni lazima kuwa mazingira ya uwazi kwenye mapato na rasilimali za nchi. Hoja za CAG wewe kilaza huwa hazijibiwi kienyeji ndio maana ripoti inapelekwa bungeni kujadiliwa Kisha serikali kuchukua hatua. 1.5tr haikuonekana wapi imekwenda hapa hukuna porojo serikali ilipaswa kuburuzwa mahakamani na si vinginevyo.
 
MAAFISA WA MABENKI NDIO WAHUSIKA WAKUU "MAAFISA MIKOPO MIKUBWA" KAMATA HAO! WEKA NDANI, IKIBIDI FILISINI HAO KABISA, MFANYABIASHARA ALIYEKIMBIA WAPENI KAZI INTERPOL, AREJESHWE HAPA KULIPA FEDHA ZOTE.
 
Nchi hii tajiri anafanya anavyotaka
Wengine cheque ya mil 5 ndani ya benk kila mtu mpaka atie sign mpaka mfagiaji umpitishie nae aione
 
Hii unaonyesha ni mjamzito pole kama unafuatilia riport bungeni mbona imeshaajibiwa. Mbona huyo CAG aliyetumbuliwa pia alikiri hamna hata sh moja iliyoibiwa au ww unasisconnetion kati ya ubonge na mdomo
Wewe ni kilaza wa wapi vyombo vyenye mamlaka kama takukuru na vinginevyo ndio vinaenda kufanya uchunguzi baada ya kuchambua ripoti ya CAG kama kuna harufu ya mis allocation of public funds, kumbuka kangi lugola baada ya kulipuka na kasema CAG ni muongo baada ya wizara take kutajwa akaonywa kuwa ripoti huwa haipigwi kile ni kama Chombo cha usimamizi wa fedha za umma.
 
Nchi hii tajiri anafanya anavyotaka
Wengine cheque ya mil 5 ndani ya benk kila mtu mpaka atie sign mpaka mfagiaji umpitishie nae aione
Wakati wengine anavuta kwenye sefu mabulungutu anaweka kwenye buti la gari pamoja na mizigo mingine anafunguliwa geti na mlinzi anachikichia home..😀
 
Rais akichukua hatua mnamuita dikteta!

Sasa tulieni mnyolewe.
Kuna Raos amewahi chukua hatua dhidi ya mafisafi na wabafhirifu wa mali za umaa? Nakumbuka mmoja yeye alijua anadeal na wapinzani tu, hiyo nguvu angeiyumia kuwawajibisha hawa wezi tungeona nafuu
 
Back
Top Bottom