Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
bado, mama ananyoosha kwa nza nchi, mambo ya ripoti, sijui katiba mpya, sijui mikutano ya wapinzani inapaswa kusubiri kwanza.Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari Rais Samia alisema anatarijia kupokea ripoti ya CAG kuhusu BoT tarehe 30 June au 1 July.
Mungu ni mwema labda itakuwa leo.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Bwashee upo? Mimi nategemea neno toka kwako kwa matukio ya Mama wiki hii na iliyopita. Nadhani mama anakwenda kuwa Kama Idd Amin.Bwashee umeshawasili Tabata?
Yale Yale ya ESCROW tutarajie kusikia BOT hakuna Wizi uliofanyikaAkizungumza na wahariri wa vyombo vya habari Rais Samia alisema anatarijia kupokea ripoti ya CAG kuhusu BoT tarehe 30 June au 1 July.
Mungu ni mwema labda itakuwa leo.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Yote majizi, huyu mama hayawezi maana anayaogopaMmoja kashakimbia nchini, labda ndio mipango yao who knows.
Kumbe! Anatamani utesaji wa upinzani uendelee lakini sasa' hana kufanya, Rais SSH hana roho ya ushetani.Ni yuleyule ana line mbili.
CAG amekalisha ripoti ya CAG na siyo ya ukaguzi?niweke sawa hapo.Rais Samia amesema CAG ameshakamilisha ripoti ya CAG kuhusu Benki kuu kwa kipindi cha kuanzia January hadi March 2021 na ataikabidhi kwake siku ya Jumatano au Alhamisi.
Umma utaelezwa yaliyomo ndani ya ripoti hiyo, amesisitiza Rais Samia.
Chanzo: ITV
dah ila aliahidi mwenyewe siku anaongea na wahariri tena ajauliza leo siku gani???walivyomjibu akasema jumatano napokea ripoti na tukio litakuwa live ila kimyaaaaaa na wadau wamekaushaMagazijuto hazikai sawa,