Rais Samia: Kwa sura nazoziona hapa (CHADEMA) hamna dhamira ya kushika dola 2025, mnajua mama yupo

Hii ni kauli ya kikubwa, Kwa watu wakubwa

Rais kamaanisha watamuunga mkono yeye na sio wao kugombea Kuchukua madaraka
Na tena, alikuwa akiongea kim-zaha mzaha hivi!
Mleta uzi, sina shaka MAKAVU aliyopewa mama, waalaaa hakuwa anayasikia!
 
Ule msemo wa Maendeleo hayana Vyama,Mama Samia ndio anaishi nayo kabisa.
Sasa tulivyo Chadema wanaweza kuja Kwenye mkutano wa CCM na sare zao na wa CCM tunaweza kwenda kwenye mkutano CDM na sare zao,kila Mmoja akamsikiliza mwenzake.Hii amani ni mama Samia ndio kaileta.Kwanini tusijivunie Mama Samia,Rais wa mfano,mama yetu Shupavu kabisa mwenye roho ya kipekee.
#Kazi iendelee
 
Huu ni ukweli unaoumiza 😂, organization ya CDM mpaka ikae sawa sio 2025
 
Sura za dola mnazo?
 
tuko pamoja
 

Attachments

  • 6CDC4105-D693-45EE-9509-090B609CBD6F.jpeg
    86.5 KB · Views: 2
Mambo yanaend kasi mno leo Mbowe ni kamanda wa kuwaonea wivu machawa wa mama,
 
Leo Mama ameongea ukweli unaouma kwa ndugu zetu CHADEMA, Mama ni mwanasiasa hasa na ameiva, yupo vizuri haswaa BAWACHA/CHADEMA ujumbe umefika kama kisu kimepiga kwenye mfupa.

Mitano tena kwa Mama.
Kama ataanzisha mchakato wa katiba mpya, na tukaipata, hata mimi nitapiga kelele kushawishi huyu Mama aliyefanya jambo kubwa kama hilo apewe miaka mitano aongoze nchi, tena bila bugdha.

Muhimu siyo chama bali ni kumpata mtu anayeweza kuliongoza Taifa vyema.
 
Kama tunaheshimiana na kuthaminiana, huwezi kudharau chama chpchote cha siasa chenye wanachama mamilioni.

Tunaweza kuichukia CCM, lakini haiondoi ukweli kuwa ni chama chenye wafuasi mamilioni. Ukikipuuza ina maana umewapuuza hao watanzania wote mamilioni.

Ni sawa kwa CHADEMA Ppua, hakuna mwenye akili timamu ataipuuza CHADEMA, kwa sababu ni taasisi inayoungwa mkono na mamilioni ya Watanzania.
 
Ilikuwa lazima aseme vile ili kuwafurahisha walionuna nunu...!
 
Sasa zezeta kama Mdude umkabidhi nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…