Rais Samia: Mijadala Bungeni haina afya kwa Taifa. Tufanye kazi kama Bunge linavyotakiwa kufanya kazi

Rais Samia: Mijadala Bungeni haina afya kwa Taifa. Tufanye kazi kama Bunge linavyotakiwa kufanya kazi

Dkt Tulia ameyasema hayo bungeni wakati mama Samia alishasema yeye na Magufuli ni kitu kimoja.

Pia amesahau wote ni wa chama kimoja tena waliinadi ilani 1 ya CCM.
 
Hii ndio CCM!!

Ipo siku wataambia Mama Samia hakuahidi elimu bure, kukamilisha ujenzi wa SGR, na Bwawa la Umeme la mto Rufiji bali alikuwa Hayati Magufuli.
 
Kwani Mama si anatekeleza ilani iliyoachwa na HAYATI?

Kweli kijani ni ile ile.
 
Dkt Tulia ameyasema hayo bungeni wakati mama Samia alishasema yeye na Magufuli ni kitu kimoja.

Pia amesahau wote ni wa chama kimoja tena waliinadi ilani 1 ya ccm
Nakubaliana naye, hii ni serikali mpya haigusiani kabisa na ile ya ahadi hewa. Ila asije siku nyingine akajichanganya na kumfananisha Samia na yule Dikt.
 
Ndo maana hakana tacko kwa sababu ya unafiki na kujipendekeza
 
Mbona wamesema Magufuli na Samia ni kitu kimoja? Kwenye kampeni si walikuwa wote?
 
Hadi sasa bunge limebaki na malumbano yaliyojawa chuki na hisia kali.Malumbano haya muda sio mrefu yanaweza kukuvuruga sana na kuvuruga amani ya taifa letu.

Sasa nakuomba bila kujali gharama za uchaguzi, vunja bunge tukaanze upya

Tunakuamini mheshimiwa Rais wetu
 
Ndugai anabadilika kama kinyonga.
Akina Alima Mdee wako pale kwa Teketi ya Chama kipi?
Rais Samia Tunakuamini, Fanya Kweli.
 


Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amekuwa akifuatilia mijadala ya Bunge na kuongeza kuwa kuna mijadala isiyo ya afya kwa Taifa

Amesema: "Kipindi hiki ndugu zangu Wabunge tunatakiwa kupitisha Bajeti za Sekta mbalimbali za Serikali kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Naomba jikiteni sana huko, mengine tutayazungumza siku zinavyokwenda. Tufanye kazi kama Bunge linavyotakiwa kufanya kazi"

Shida ilianzia hapa
 
Back
Top Bottom