Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana naye, hii ni serikali mpya haigusiani kabisa na ile ya ahadi hewa. Ila asije siku nyingine akajichanganya na kumfananisha Samia na yule Dikt.Dkt Tulia ameyasema hayo bungeni wakati mama Samia alishasema yeye na Magufuli ni kitu kimoja.
Pia amesahau wote ni wa chama kimoja tena waliinadi ilani 1 ya ccm
Endelea kuota mchanaSasa nakuomba bila kujali gharama za uchaguzi, vunja bunge tukaanze upya
Mfano hai babu tale🤣🤣🤣Mtu kapita bila kupingwa atakuwa na hoja gani sasa
Duuuh! KILA ngoma ikipigwa unademka nayo. Kweli weee jingalao.wazee wa kudemka tuache
Spika dhaifu huzaa bunge dhaifu.Jiwe la gizani limeenda kwa Ndugai
Kuna tofauti ya kusifu na kusema ukweli. Haihitaji akili kubwa kubaini hilo. Fikiri kwa makini zaidi.Wanasifia au wanasema ukweli?
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amekuwa akifuatilia mijadala ya Bunge na kuongeza kuwa kuna mijadala isiyo ya afya kwa Taifa
Amesema: "Kipindi hiki ndugu zangu Wabunge tunatakiwa kupitisha Bajeti za Sekta mbalimbali za Serikali kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Naomba jikiteni sana huko, mengine tutayazungumza siku zinavyokwenda. Tufanye kazi kama Bunge linavyotakiwa kufanya kazi"