BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Kwa hiyo gari 100 kwenye msafara wa rais kwako wewe ni kidogo!? Kama ndivyo basi tuna safari ndefu sana.Nimehasabu magari nimeishia kuona gari 101, hizo nyingi ni gari za machawa, wanajihudumia wenyewe.
Hawajihudumii wenyewe bwana! Ni Kodi yako TU Hawa mbwa shwaini wakubwa!!!Nimehasabu magari nimeishia kuona gari 101, hizo nyingi ni gari za machawa, wanajihudumia wenyewe.
Kwani wapi nimesema kwamba ni kidogo?Kwa hiyo gari 100 kwenye msafara wa rais kwako wewe ni kidogo!?
Kama ndivyo basi tuna safari ndefu sana.
Magari 150 kila gari wastani watu 6 bado mabasi yanayo somba wana ccm jumla ni zaidi ya watu elfu 3000 wana pelekwa kwenye mikutano ya ccm ..sababu ya kufanya hivi ni kwamba huyo haramia SA100 hakubaliki hata na asilimia 10% ya watanzaniaRaisi wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi.
Raisi anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa ba matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za Dodoma na Dar es salaam, akiwa na msafar mkubwa kuliko sasa kiongozi yoyote yule Africa na Duniani.
Ukiangalia huo msafara ni inatisha, huwezi amini kuna shule hazina matundu ya vyoo na tunangoja USAID watujengee.
Watu wana madeal yao tu, wanatumia msafara wa raisi kukutana na ma godfather wao, we fikiria ccm wakati wenzako wanapiga ma dili.Magari 150 kila gari wastani watu 6 bado mabasi yanayo somba wana ccm jumla ni zaidi ya watu elfu 3000 wana pelekwa kwenye mikutano ya ccm
Pale unapodhani ni mjuvi.....Harafu usixho elewa ww magari yanakuwa mengi sababu ya wenyeji wake hapo Kuna wakuu wa Wilaya,polisi,usalama,viongozi wa dini,mashirika,majeshi sema vijana wengi mnakulupuka sana
Duh! Kama sijakosea gari zipo 146Raisi wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi.
Raisi anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa ba matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za Dodoma na Dar es salaam, akiwa na msafar mkubwa kuliko sasa kiongozi yoyote yule Africa na Duniani.
Ukiangalia huo msafara ni inatisha, huwezi amini kuna shule hazina matundu ya vyoo na tunangoja USAID watujengee.
ZImewekea mafuta ya kodi zetu, Wale wanao tupa Misaada wakina USA, Ulaya huko Raisi msafara wake hauzidi gari 4 au 5.Nimehasabu magari nimeishia kuona gari 101, hizo nyingi ni gari za machawa, wanajihudumia wenyewe.
ZInafika 150 hesabu vizuri,Duh! Kama sijakosea gari zipo 146
Wenyeji gani? huu ni ujinga, ni show off za kijinga sana,Harafu usixho elewa ww magari yanakuwa mengi sababu ya wenyeji wake hapo Kuna wakuu wa Wilaya,polisi,usalama,viongozi wa dini,mashirika,majeshi sema vijana wengi mnakulupuka sana