Rais Samia na msafara wa Magari zaidi ya 150, tulipe tozo nchi ijiendeshe
Harafu usixho elewa ww magari yanakuwa mengi sababu ya wenyeji wake hapo Kuna wakuu wa Wilaya,polisi,usalama,viongozi wa dini,mashirika,majeshi sema vijana wengi mnakulupuka sana
Uzuri ni kwamba tutakuwa wote hapa hapa ni swala la muda tu.
 
Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi.

Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za Dodoma na Dar es salaam, akiwa na msafara mkubwa kuliko sasa kiongozi yoyote yule Afrika na Duniani.

Ukiangalia huo msafara ni inatisha, huwezi amini kuna shule hazina matundu ya vyoo na tunangoja USAID watujengee.

Tlaatlaah Lucas Mwashambwa FaizaFoxy

 
Back
Top Bottom