Rais Samia na msafara wa Magari zaidi ya 150, tulipe tozo nchi ijiendeshe
Ndio wanazunguka nao.Pili Rais hazunguki na Baraza na Mawaziri maana hakunaga Ziara ambayo inahusisha Mawaziri wote Kwa pamoja.

Nchi kuandamwa na matatizo haimaanishi Rais aache kwenda kwenye ziara na wasaidizi,huo ni utaratibu rasmi,uwe na matatizo au usiwe na matatizo na matatizo Huwa hayaishi.
Huu ujinga haukuwepo miaka ya nyuma ukitoa awamu ya magufuli ambaye nae hadi helicopter mbili zilko juu ndio maana unaona watu wana upigia kelele kwa hapo awali marais walikuwa hawana mawaziri?huu ujinga unao utetea unakunufaisha na wewe ila hauna tija kwa mustakabali wa maendeleo ya wananchi ni matumizi ya hovyo kabisa huku mnalalamika serikali inakopa sana halafu kubana matumizi ya hovyo ya serikali hamjui ,vilaza na walafi ndio wamejaa huko.
 
Sio ujinga,kwamba Rais alikuwa alifanya ziara za kiserikali huko Mikoani alikuwa anaenda peke yake?

Pili hatari na complexity za kiulinzi zimeongezeka huwezi linganisha na zamani so lazima full security ichukue mkondo wake.

Makonda alikuwa na msafara sembuse Rais?
 
Harafu usixho elewa ww magari yanakuwa mengi sababu ya wenyeji wake hapo Kuna wakuu wa Wilaya,polisi,usalama,viongozi wa dini,mashirika,majeshi sema vijana wengi mnakulupuka sana
Kuna mzee alikuja ofisini akanipa mfumo wa msafara wa Rais unavyokuwa, ilipaswa aambatane na gari ishirini tu kushuka chini

Ila huyu mzee alipotoa huu mfumo wa msafara wa rais kimoyo moyo nikajiuliza,
"ananijua mimi ni nani mpaka aropoke? Hajui kama anahatarisha usalama wa Rais kuropoka kwa watu asiowafahamu?"

Kisha nikaachana nae
 
Ndiyo maana kila kukicha wanawasisitiza wananchi amani na utulivu ili watumbue mihela ya serikali bila fujo.
 
Sio ujinga,kwamba Rais alikuwa alifanya ziara za kiserikali huko Mikoani alikuwa anaenda peke yake?

Pili hatari na complexity za kiulinzi zimeongezeka huwezi linganisha na zamani so lazima full security ichukue mkondo wake.

Makonda alikuwa na msafara sembuse Rais?
Hakuna hatari yeyote! ujinga huo waambie walio ishia la pili D, kenya ambayo iko kwenye hatari ya shambulio la ugaid hakuna upuuzi huo na wametuzid kiuchumi mbali kabisa sisi huku tumekalia ujinga ujinga na ubadhirifu
 
Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi.

Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za Dodoma na Dar es salaam, akiwa na msafara mkubwa kuliko sasa kiongozi yoyote yule Afrika na Duniani.

Ukiangalia huo msafara ni inatisha, huwezi amini kuna shule hazina matundu ya vyoo na tunangoja USAID watujengee.

Sauti za hao wapemben ndizo zimenichekesha zaidi.....
Tz tunapenda uongosana, wanadanganyana n kusapot story fake kinoma.
 
Hakuna hatari yeyote! ujinga huo waambie walio ishia la pili D, kenya ambayo iko kwenye hatari ya shambulio la ugaid hakuna upuuzi huo na wametuzid kiuchumi mbali kabisa sisi huku tumekalia ujinga ujinga na ubadhirifu
Sawa tusilazimishane kuamini upuuzi wako
 
Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi.

Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za Dodoma na Dar es salaam, akiwa na msafara mkubwa kuliko sasa kiongozi yoyote yule Afrika na Duniani.

Ukiangalia huo msafara ni inatisha, huwezi amini kuna shule hazina matundu ya vyoo na tunangoja USAID watujengee.

Waafrika ni hovyo sana!
 
Sawa tusilazimishane kuamini upuuzi wako
Hapa nani mjinga? wewe au mimi!? Viburi mnavipatia kwetu halafu mnataka kujitutumua, tafuteni pesa zenu na mzitumie hovyo hovyo muone kama kuna mtu atawauliza, lakini mkitumia pesa za kodi inayo tolewa na wananchi wenye lengo la kujiletea maendeleo, matokeo yake nyie mwazifuja hovyo hovyo, msiwe wakali maana mnaishi kwa hisani ya pesa zetu, mnapo yafurahia matumizi na matanuzi furahieni pia na maswali na malalamiko usipaniki kiongooozi.
 
Hiyu bibi ,alisomea uchumi Gani na nchi Gani???
Anatembea na mawaziri ili wamsaidie kujibu maswali ,hajui kinachofanyika huko mikoanim
 
Hapa nani mjinga? wewe au mimi!? Viburi mnavipatia kwetu halafu mnataka kujitutumua, tafuteni pesa zenu na mzitumie hovyo hovyo muone kama kuna mtu atawauliza, lakini mkitumia pesa za kodi inayo tolewa na wananchi wenye lengo la kujiletea maendeleo, matokeo yake nyie mwazifuja hovyo hovyo, msiwe wakali maana mnaishi kwa hisani ya pesa zetu, mnapo yafurahia matumizi na matanuzi furahieni pia na maswali na malalamiko usipaniki kiongooozi.
Acha ujinga wewe nyumbu hakuna Nchi ambayo Haina misafara
 
Ingekuwa vema msafara wa Mbowe tuone ukiwa umejaza punda tu ili kubana matumizi
Ujinga mzigo!.

Mbowe anahudumiwa na kodi za Watanganyika?.

Watu wanajadili masuala ya nchi yao wewe unataka tujadili upuuzi wako.
 
Ni wajibu wake kutetea kila kitu,kwasababu yawezekana ni mnufaika wa mfumo uliopo.
Ni vema wajifunze kukosoa pia ili watawala wajirekebishe,hii sifiasifia na kuwakingia kifua bila ya kujali wanaharibu au laa,siyo vema.
 
Ruzuku ni hela za bibi yako?

Ruzuku ni hela za mama yako?.
Mbowe anakusanya kodi we Pimbi ?.Umeona hesabu za CDM CAG anasemaje ?.

We Pimbi mzee CAG anasemaje kuhusiana na hesabu za serekali kuu,TAMISEMI & Mashirika ya umma.

Wangapi wameshtakiwa wangapi wamehukumiwa !.
 
Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi.

Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za Dodoma na Dar es salaam, akiwa na msafara mkubwa kuliko sasa kiongozi yoyote yule Afrika na Duniani.

Ukiangalia huo msafara ni inatisha, huwezi amini kuna shule hazina matundu ya vyoo na tunangoja USAID watujengee.

Mimi nadhani V8 10 TU ZINGETOSHA kwa msafara.
 
Back
Top Bottom