Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa usahihi... Tanzanians tumezidi ujinga!Ni lini tutaondoka a na huu upumbavu ? Hizi gharama za kuendesha huu msafara hazitoshi hata kujenga matundu ya vyoo kwenye mikoa wanayo ongoza kujisaidia vichakani au kwenye shule zenye uhaba wa vyoo ?
Huu msafara wote ni wa nini ? Africans we are FOOLISH AND WAJINGA SANA
Mbaya zaidi unakuta kuna msafara wa Rais, Makamu, PM, Naibu, Katibu Mkuu CCM, Mwenge, CDF, Spika, Jaji Mkuu na baadhi ya wakuu wa Mikoa na Wilaya, hii nchi imelogwa siyo bureNi lini tutaondoka a na huu upumbavu ? Hizi gharama za kuendesha huu msafara hazitoshi hata kujenga matundu ya vyoo kwenye mikoa wanayo ongoza kujisaidia vichakani au kwenye shule zenye uhaba wa vyoo ?
Huu msafara wote ni wa nini ? Africans we are FOOLISH AND WAJINGA SANA
Ni tabia yetu kupenda safari ukiliona gari la bure, pia tunafurahia misafara ya sherehe.Ni lini tutaondoka a na huu upumbavu ? Hizi gharama za kuendesha huu msafara hazitoshi hata kujenga matundu ya vyoo kwenye mikoa wanayo ongoza kujisaidia vichakani au kwenye shule zenye uhaba wa vyoo ?
Huu msafara wote ni wa nini ? Africans we are FOOLISH AND WAJINGA SANA
Hata ungekuwa ni msafara wa magari 200 kwani Kuna shida gani?Nimesghangaa sana huko Rukwa na ukiangalia bei za hayo mashangingi , utajua kwanini Trump alisema tunatakiwa kutawaliwa upya.
huwezi kuona shida kwakuwa umeshiba vijiposho na wala huumwi na huna wategemezi , na wala umasikini wa wananchi waliokuwa wanapiga hizo picha hujauona ,yaani nyie fiisiiemu mna matatizo sana .Hata ungekuwa ni msafara wa magari 200 kwani Kuna shida gani?
Trump alisema jina gani hivi kwa hizi nchi?? Hole ya nini sijuiNimesghangaa sana huko Rukwa na ukiangalia bei za hayo mashangingi , utajua kwanini Trump alisema tunatakiwa kutawaliwa upya.
Wote hao wapo na sijashiba ila niambie shida Iko wapi?huwezi kuona shida kwakuwa umeshiba vijiposho na wala huumwi na huna wategemezi , na wala umasikini wa wananchi waliokuwa wanapiga hizo picha hujauona ,yaani nyie fiisiiemu mna matatizo sana .
Mwenye shibe amsikie mwenye njaa,mentality za namna hii kama yako ,taifa hili linapaswa kutawaliwa tena na wakoloniWote hao wapo na sijashiba ila niambie shida Iko wapi?
Mimi ni raia ,yule ni Rais tunafanana Kwa lipi hasa?
Hamna video au picha za huo msafara?Nimesghangaa sana huko Rukwa na ukiangalia bei za hayo mashangingi , utajua kwanini Trump alisema tunatakiwa kutawaliwa upya.
PoleMwenye shibe amsikie mwenye njaa,mentality za namna hii kama yako ,taifa hili linapaswa kutawaliwa tena na wakoloni
Anaye lalamika ni mwananchi anaye gharamia hayo magari kwa tozo na kodi za kishenzi shenzi , hayo hayagharamiwi na pesa za mshahara wa samia na kundi lake, usijitoe ufahamu na muwe na heshima kwa wananchi walio waweka hapo, halafu baadae mmesha iharibu nchi mumezeeka ndio mnajifanya washauri wazuri wakati kwasasa mnashirikiana kutumia pesa hovyo kwa mambo ya kijinga wakati kuna vituo vya afya vikubwa tuu vinahudumia mamia kwa mamia hakuna hata mashine moja ultrasound na kuna watanzania wanakufa kwa maradhi ambayo serikali ingekuwa ina mipango thabit wala wasinge kufa. shwainHata ungekuwa ni msafara wa magari 200 kwani Kuna shida gani?
Trump alikwambia msafara wa Rais inatakiwa magari mangapi kabla ya kutawaliwa upya?
Yawe matatu tu.Mgambo mbele,mama katikati na mwisho ambulance.Hata ungekuwa ni msafara wa magari 200 kwani Kuna shida gani?
Trump alikwambia msafara wa Rais inatakiwa magari mangapi kabla ya kutawaliwa upya?
Shit hole😂😂😂Trump alisema jina gani hivi kwa hizi nchi?? Hole ya nini sijui
Ukiwaza saba kuhusu hilo neno kwa kiswahiki huwezi amini kama lilitamkwa na Rais wa Nchi.Shit hole😂😂😂
Jamaa ana maneno makali sana yanayouma
Kama Mbowe hana Cheo chochote Serikalini anakodi chopa na kusindikwaza na msululu wa magari sembuse Rais? 😂😂😂😂Yawe matatu tu.Mgambo mbele,mama katikati na mwisho ambulance.
Alitamka kati ya;-Trump alisema jina gani hivi kwa hizi nchi?? Hole ya nini sijui