Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,116
- 4,979
sidhani Watanganyika wengi hawana wivu na nafasi ya mtu na hasa katika nafasi ya Urais ila wanatamani kuona ushawishi mnzuri wa matumizi ya mzigo wa serikali wanaoubeba basi.Wivu tu
Mtu mmoja alisema hawa watanganyika hawahitaji uwawekee Ac kwenye nyumba zao bali mazingira rafiki kwa maisha yao ya kila siku.
sasa wakiona matumizi si ya lazima nafsi zao zinaumia hata kama hawawezi kusema.
Kama kulikuwa na uhitaji wa watu wote hao walishindwa kukodi hata costa usafiri unaoweza kuchukua watu wengi kwa pamoja.?
boss angetembea na msafara wake tuliouzoea kisha wengine wangejaa kwenye costa.
tabu kwakuwa tulikuwa mikoa hatarishi kwa kadri ya miungu ya wengi hivyo inawezekana kulikuwa na idadi ya kamati ya ufundi ili mambo yakae sawa.