Rais Samia na msafara wa Magari zaidi ya 150, tulipe tozo nchi ijiendeshe
Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi.

Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za Dodoma na Dar es salaam, akiwa na msafara mkubwa kuliko sasa kiongozi yoyote yule Afrika na Duniani.

Ukiangalia huo msafara ni inatisha, huwezi amini kuna shule hazina matundu ya vyoo na tunangoja USAID watujengee.

Nimeishia 110.......Wakimaliza wanasema Mungu tusamehe yanaisha
 
Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi.

Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za Dodoma na Dar es salaam, akiwa na msafara mkubwa kuliko sasa kiongozi yoyote yule Afrika na Duniani.

Ukiangalia huo msafara ni inatisha, huwezi amini kuna shule hazina matundu ya vyoo na tunangoja USAID watujengee.

Nafikiri ndio utani wao kwa Watanzania. Watakwambia kama Nape ni utani tu. CCM wote wameshalewa chakali, ni ulevi wa madaraka.
 
Lipa kodi acha porojo ..unataka rais wetu aishi kimaskini au .
 
Nafikiri ndio utani wao kwa Watanzania. Watakwambia kama Nape ni utani tu. CCM wote wameshalewa chakali, ni ulevi wa madaraka.
Hii yote ni kibri cha kupora uchaguzi.

Kama hawana uhakika na hilo wasingefanya hivi.
 
SSH na serikali yake yote wanachukulia kila kitu kama utani.

Maisha ya Watanzania, kodi, rasilimali zote za nchi ni mambo ya utani, mchezomchezo, mali zao ndio maana waziri wa habari anawatukana Watanzania halafu anasema ni utani tu.
 
Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi.

Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za Dodoma na Dar es salaam, akiwa na msafara mkubwa kuliko sasa kiongozi yoyote yule Afrika na Duniani.

Ukiangalia huo msafara ni inatisha, huwezi amini kuna shule hazina matundu ya vyoo na tunangoja USAID watujengee.

Hii 'clip' tunzeni mje muwaoneshe wanannchi kwenye runinga pana zaidi (wide screen-HD) watalia machozi kukamuliwa kote huko kumbe ni matumizi ya vingunge
 
Ukifuatilia sana mambo ya hii nchi utapata kichaa.
 
Nimehasabu magari nimeishia kuona gari 101, hizo nyingi ni gari za machawa, wanajihudumia wenyewe.
Wanajihudumia wenyewe inamaana mafuta na service wanatoa kwa wazazi wao?
Posho ya mapokezi wanalipwa na shangazi zao?
 
Hawa viongoz sijui wanatuchukuliaje! Mazingira yanabadilika, binadamu wanakuwa civilized, ila viongozi wa Tz hawabadiloki! Muda wote wanaamini wanachokihisi na siyo wananchi wanachowaza juu yao, redemption is loading🦾🦾🦾
 
Kuna mawaziri Ulaya wanapanda treni kwenda kazini
Ni kiongozi asiejali ndio anafanya kufuru hii
Imagine akisema miezi 6 ntasafiri na watu 10 tu
Na misafara ya ndani akate kwa 80%
Je amewahi kupigiwa hesabu
 
Mimi nadhani Wakati mwingine hajui kama anasindikizwa na msafara wa magari mengi! Na huenda Safari zake zinaratibiwa na ikulu yeye anaelekezwa apande gari tu.
Rais wa Zambia alikataa ununuzi wa magari mapya, vile vile na wa Bokinafaso amebaki na gari la zamani. Rais anaweza akasema msafara wangu usizidi magari 10 na ikawa hivyo. Kiongozi lazima awe in control siyo anaendeshwa kimzobemzobe.
 
Hivi wote mliocoment inamaana hmna yyte anayejua ukweli kuhusu msafara kma huo. Na hakuna aliyekuwepo.
Jamii forum 🚮, imeanza kuwa na waropokaji tu. Ukweli unpotea
 
Mimi nadhani Wakati mwingine hajui kama anasindikizwa na msafara wa magari mengi! Na huenda Safari zake zinaratibiwa na ikulu yeye anaelekezwa apande gari tu.
Akipitia hapa anatakiwa apige marufuku akikaa kimyaa jua yeye ndipvyo anavyotaka
 
Nimehasabu magari nimeishia kuona gari 101, hizo nyingi ni gari za machawa, wanajihudumia wenyewe.
Ole wako ukosoe matendo hayo,Chawa lazima wakurarue.Hizo raha wanazojipa hakuna mwanadamu anaweza kibali kuziachia.Wameshika mpini,lazima tuongeze mbinyo kama Wakenya.
 
I think shida n hqo wabongo wenzetu wenye vitambi vyao ambao wameenda kusimama barabarani kuangalia msafara badala ya kutafta hela watoto wao wakale.
ANgekua akipita na msafara wake hakuti mtu anaemngoja, lazma angejitafakari upya
 
Back
Top Bottom